Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 1, 2011 #1 Eti wanawake sio binadamu kwa kusoma vitabu vitakatifu.......Ukisoma kwa uangalifu utakuja kugundua kuwa wanawake sio binadamu ni ubavu mmoja wa mwanaume....Adamu......
Eti wanawake sio binadamu kwa kusoma vitabu vitakatifu.......Ukisoma kwa uangalifu utakuja kugundua kuwa wanawake sio binadamu ni ubavu mmoja wa mwanaume....Adamu......
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Dec 1, 2011 #2 kumbe, nilisharuka kama umenkalisha kwenye tuthipick. Bahati yako, povu lilikokuwa nalo kama nimekunywa OMO
kumbe, nilisharuka kama umenkalisha kwenye tuthipick. Bahati yako, povu lilikokuwa nalo kama nimekunywa OMO
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Dec 1, 2011 #3 Actually watu wengi wametumia aya kutoka vitabu hivyo kuhalalisha kuwa mwanamke at least si sawa na mwanamme.
Actually watu wengi wametumia aya kutoka vitabu hivyo kuhalalisha kuwa mwanamke at least si sawa na mwanamme.
Tausi Mzalendo JF-Expert Member Joined May 23, 2010 Posts 1,470 Reaction score 722 Dec 1, 2011 #4 Kumbe? Nilishaanza kujipanga kukujibu.... haya endeleeni.
M Mishobok Member Joined Dec 1, 2011 Posts 5 Reaction score 1 Dec 1, 2011 #5 nadhani mambo ya kusema wanawake ni ubavu mmoja ni fikra potofu kama kweli umesoma anatomy vizuri pamoja na physiology .... utapata majibu
nadhani mambo ya kusema wanawake ni ubavu mmoja ni fikra potofu kama kweli umesoma anatomy vizuri pamoja na physiology .... utapata majibu
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 1, 2011 Thread starter #6 Gaijin said: Actually watu wengi wametumia aya kutoka vitabu hivyo kuhalalisha kuwa mwanamke at least si sawa na mwanamme. Click to expand... Wewe unasemaje? mwanamke ni sawa na mwanaume? kwa misingi ipi?
Gaijin said: Actually watu wengi wametumia aya kutoka vitabu hivyo kuhalalisha kuwa mwanamke at least si sawa na mwanamme. Click to expand... Wewe unasemaje? mwanamke ni sawa na mwanaume? kwa misingi ipi?
H hayaka JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 474 Reaction score 100 Dec 1, 2011 #7 nilivyokuwa nimekamia kukujibu una bahati, haya leta habari
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 1, 2011 Thread starter #8 Mishobok said: nadhani mambo ya kusema wanawake ni ubavu mmoja ni fikra potofu kama kweli umesoma anatomy vizuri pamoja na physiology .... utapata majibu Click to expand... We came from creation or evelution?
Mishobok said: nadhani mambo ya kusema wanawake ni ubavu mmoja ni fikra potofu kama kweli umesoma anatomy vizuri pamoja na physiology .... utapata majibu Click to expand... We came from creation or evelution?
M maliyamungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 564 Reaction score 419 Dec 1, 2011 #9 Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!!
Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!!
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Dec 1, 2011 #10 Yo Yo said: Wewe unasemaje? mwanamke ni sawa na mwanaume? kwa misingi ipi? Click to expand... Mimi nasema si sawa na wanaume. Kwa misingi ya kuwa ukiwaangalia umbo na viungo vya uzazi havilingani Lakini hao wanaotumia aya za biblia, wao wanaonyesha kuwa hawatakiwi kupewa haki sawa kwa vile mwanamme ni kiumbe bora kuliko mwanamke
Yo Yo said: Wewe unasemaje? mwanamke ni sawa na mwanaume? kwa misingi ipi? Click to expand... Mimi nasema si sawa na wanaume. Kwa misingi ya kuwa ukiwaangalia umbo na viungo vya uzazi havilingani Lakini hao wanaotumia aya za biblia, wao wanaonyesha kuwa hawatakiwi kupewa haki sawa kwa vile mwanamme ni kiumbe bora kuliko mwanamke
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Dec 1, 2011 #11 Aisee wewe??!!! Dah nilijawa na povu mbaya sana.................. Kweli umeniweza yaani leo ningekuwa NN Aisee wewe toto tundu sana kha??? Endelea na habari zako imenibidi nicheke tu
Aisee wewe??!!! Dah nilijawa na povu mbaya sana.................. Kweli umeniweza yaani leo ningekuwa NN Aisee wewe toto tundu sana kha??? Endelea na habari zako imenibidi nicheke tu
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,616 Reaction score 64,475 Dec 1, 2011 #12 yo yo kumekucha tena, sasa umeanza ya vitabu vya dini, na wewe unasema kuwa mwanamke ni nani.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Dec 1, 2011 #13 dah...niliandaa jibu kabla hata ya kufungua thread...Yo Yo leo ungejibeba......
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Dec 1, 2011 #14 Mamndenyi said: yo yo kumekucha tena, sasa umeanza ya vitabu vya dini, na wewe unasema kuwa mwanamke ni nani. Click to expand... Kaacha kuvuta Bangi Kaokoka siku hizi
Mamndenyi said: yo yo kumekucha tena, sasa umeanza ya vitabu vya dini, na wewe unasema kuwa mwanamke ni nani. Click to expand... Kaacha kuvuta Bangi Kaokoka siku hizi
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,378 Dec 1, 2011 #15 Mmh! Hapa watu wameshikwa pabaya! Mimi sina la kusema, sijui kwa sababu ya hang-over ya tangu juzi?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Dec 1, 2011 #16 Dena Amsi said: Aisee wewe??!!! Dah nilijawa na povu mbaya sana.................. Kweli umeniweza yaani leo ningekuwa NN Aisee wewe toto tundu sana kha??? Endelea na habari zako imenibidi nicheke tu Click to expand... mbona mmekuja na hasira, halafu mkifungua mnaishia kucheka. yo yo leo kawaweza!
Dena Amsi said: Aisee wewe??!!! Dah nilijawa na povu mbaya sana.................. Kweli umeniweza yaani leo ningekuwa NN Aisee wewe toto tundu sana kha??? Endelea na habari zako imenibidi nicheke tu Click to expand... mbona mmekuja na hasira, halafu mkifungua mnaishia kucheka. yo yo leo kawaweza!
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,958 Reaction score 2,286 Dec 1, 2011 #17 .....PAMBUFU.....sana UNATUTIA MUNKARI WATU afu ........wewe unabahati yako
M Myn17 Senior Member Joined Nov 17, 2011 Posts 100 Reaction score 31 Dec 1, 2011 #18 Duh Yo yo!!! ah hii nimeipenda,yaan mtu unajazbika ukiona kchwa cha uzi,ukiangalia ndan tofaut na pcha ya kwanza mtu uliokuwa nayo.
Duh Yo yo!!! ah hii nimeipenda,yaan mtu unajazbika ukiona kchwa cha uzi,ukiangalia ndan tofaut na pcha ya kwanza mtu uliokuwa nayo.
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 1, 2011 Thread starter #19 Gaijin said: Mimi nasema si sawa na wanaume. Kwa misingi ya kuwa ukiwaangalia umbo na viungo vya uzazi havilingani Lakini hao wanaotumia aya za biblia, wao wanaonyesha kuwa hawatakiwi kupewa haki sawa kwa vile mwanamme ni kiumbe bora kuliko mwanamke Click to expand... Je wewe si mmoja wa hao?....
Gaijin said: Mimi nasema si sawa na wanaume. Kwa misingi ya kuwa ukiwaangalia umbo na viungo vya uzazi havilingani Lakini hao wanaotumia aya za biblia, wao wanaonyesha kuwa hawatakiwi kupewa haki sawa kwa vile mwanamme ni kiumbe bora kuliko mwanamke Click to expand... Je wewe si mmoja wa hao?....
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,152 Reaction score 9,268 Dec 1, 2011 #20 Sugar and spice and all things nice that is what women are made of..