Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,976
Mbesi ndo nn?..muite aisee, huku Arusha ukiita mutu asipoonekana unaomba mbesiii.
mbesi ikiwadia lazima aitike.
Hivi kumbe yuko huku huku? ndo huyo Lady in red10 au? nisije pigwa mie.
hahahahahha.
Anaitwa Atoto..
Acha uoga..We kukwepa ngumi hujui?