comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,688
- 17,976
Man trying to control your Zip...ukiendelea hivi unaweza mlala hata ma mkwe sasaNshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
Acha ujinga na tamaa za kipumbavu we maskini.Nshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
Hakuna cha roho mbaya aje asalimie asepe.Hizi tamaduni za kijamaa ndizo zinalemaza watu wanakuwa tegemezi.Una roho ya korosho unayojaribu kuificha kwa mwamvuli wa uzinzi......
Mdogo ako wa kike utamkataa pia?
Mke wako ana hasara! Kuwa na dume la hivi ni hasaraNshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
Wa kawaidaWe ni mtu wa namna gani sasa
SawaUkiona mwanaume wa aina yako bas jua huyo mwanamke kaolewa na panzi
Iv mwanaume lijali mwenye akili timamu
Kwel anaweza kataa kukaa na shemeji yake wa kike kisa anahisi hatoweza jizuia, nyie ndo wale wanaume wanaolala na wasichana wa kazi kisa ****** umeanza kutokeza bas tamaa inaanza
Unanisapoti?Sawa sawa Comrade Kipepe.
HapanaMan trying to control your Zip...ukiendelea hivi unaweza mlala hata ma mkwe sasa
Kwa wivu mkubwa sanaMambo ya kipochi manyoya sio ? Kikipatikana usikiache , kishughulikie kwa wivu mkubwa
Hapo ndipo kitu kilipofichwa.UCHOYO.Hakuna lingine.Una roho ya korosho unayojaribu kuificha kwa mwamvuli wa uzinzi......
Mdogo ako wa kike utamkataa pia?