Hahaha...........kwangu nimeweka utaratibu, hela za Kodi anapokea Bibi yenu
Mimi Sina direct interaction na Wapangaji, nakwepa mitego ya hao Wapangaji mabinti
Kuna mmoja alipangiwa Chumba na Jamaa fulani, baada ya muda akamfumania, kwahiyo Mwanaume akasitisha kumlipia Kodi.
Baada ya kupitisha Siku 11 bila kulipa Kodi nikamwambia Bibi yenu akamwondoe π