Sana mkuu,jamaa yangu Mmoja ni injia alikuwa mtu wa kinywaji sana, Jamaa zake wakawa hawampi Dili kwa ulevi, mwanamke wake nae akamtosa kwa kumdhalilsha mbele za watu Bar kwamba anaiba mawigi kwa kubadilishana na kilaji!Hee Jamaa akaapa hatokaa akamrudia.Mara jamaa akaacha Pombe washikaji ,wakaanza kumpa Dili,hela ikarudi mahala pake mfukoni,karudi Tena kwa baby wa mawigi! HATARI!!!