Aiseeee jamani,kuna.mambo ujue humsem msichana yule au wa JF,unamsema mama yako au dada yako
Tjwape heshima hawa watu wa JINSI ya KE,nimegundua kwenye mitandao ya kijamii wanawake wanazongwa sana negatively,japo nao wanafanya waonekane negatively kwa picha zao wanazopost hasa Insta na FB,though twita nako wameanza kuingia