ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,584
- 44,830
Siwazungumzii nyie mlio ndoani.baba Sabrina anaweza kukuachia fifty..nawazungumzia Hawa mademu zetu na uhakika hata 5000 kurushiwa Sasa hivi Ni msala
Mkuu juzi nimempa wife 2 be 100k (laki moja) ya matumizi yake na katoto kangu, je inawezekana mimi pekee ndio nimebakia kama mwanaume pekee muongaji kwa usawa huu mkuu?Najua Kuna wengine waongo waongo watasema Bado wanahongwa laki na kuendelea.lakini ukweli Ni kuwa kwa Hali halisi na uhakika kwa Sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30000 pap kwa Mara moja.sanasana amekuhonga labda li ten ambalo halina work.Mambo yame change sii utani,mtakoma
We huna pesa ninahonga zaidi hata ya mara 10 ya hiyo sema inategemea na mwanamke mwenyewe na ukaribu tulio naoNajua Kuna wengine waongo waongo watasema Bado wanahongwa laki na kuendelea.lakini ukweli Ni kuwa kwa Hali halisi na uhakika kwa Sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30000 pap kwa Mara moja.sanasana amekuhonga labda li ten ambalo halina work.Mambo yame change sii utani,mtakoma
Niliapa sitokuja honga tena. Nilionga Msimbazi. Manzi akafanyia fare ya kwenda kwa x wake.
Siku hizi nalipia tu huduma kwa watoa huduma (nadhani mmeelewa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Ni Chai na mandazi kabisaAmetoka kunipa laki9 niongezee katñika mambo yangu...pia amenipa 200,000 ya kula ckukuu adi january bado vi20,30 havinipitii mbali
Wapo sana
Ila ni mwanaume sio mvulana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ametoka kunipa laki9 niongezee katñika mambo yangu...pia amenipa 200,000 ya kula ckukuu adi january bado vi20,30 havinipitii mbali
Wapo sana
Ila ni mwanaume sio mvulana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi mtaja mwenyez mungu kwa uongo...naapia mkuu ni kweli kabisaHii Ni Chai na mandazi kabisa
Umemaliza yote