Wanawake safarini hawajui kukataa

Wanawake safarini hawajui kukataa

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.

Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?

Dedicated kwa wote wanaojua.
 
Fafanua basi. Na maharage ya Mbeya yameingiaje hapo?

yaani ni mchele mchele.ukikaa naye siti moja ktk basi moja kwa safari ndefu ya kutoka dar kwenda kwa mfn mbeya,bukoba,mwanza nk,ukimtongoza tu,kabla hata hamjafika morogoro tayari kitu kimeshaeleweka.ila tu jiandae kubeba jukumu la kumnunulia "tuvyakula" njiani.
 
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....

Hapo unataka kuniambia nn?
 
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....

Hapo unataka kuniambia nn?

we lazima,uchapiwe na dereva au konda...
 
Wewe ni noma mkuu... Uzoefu mpaka unyayoni. Kwanini wako ivo?
 
Kuna tofauti kati ya mwanamke na muuza K. Nadhani mleta mada anaongelea wauza K.

Hapana, mwanamke yeyote tuu. Hata kama ana Mme ila kasafir peke ake.
 
we lazima,uchapiwe na dereva au konda...

ushachapiwa tayari mkuu,
kwenye safari ndefu hakuna demu mgumu mi nlishagawachapa wengi tu safarini napenda kukaa siti moja na demu!
 
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....

Hapo unataka kuniambia nn?

Pole kaka, mpigie Mara kwa Mara. Kama ana smart phone na hana battery bank unalo. Next tym mnunulie awe nayo asiwe na sababu ya chaji imeisha
 
Back
Top Bottom