Wanawake rekebisheni hili...

Wanawake rekebisheni hili...

Naona umeibuka baada ya kikokotoo kukaa sawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mimi sijambo kabisa hofu kwako.

Nimekumiss sana maana miaka imepita tangu tupotezane[emoji85][emoji85]

Habari za mwaka jana na za mwaka huu....?
Hahaha! Njema kabisa nilihofia kwako.
Nafurahi kukuona tena mwaka huu ukiwa salama.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom