Wanawake punguzeni upendo basi kidogo

Wanawake punguzeni upendo basi kidogo

Na nyie hamueleweki khaaa, mkikubaliwa mapema ooh upendo umezidi, mkipigishwa sound ooh mnatuzungusha sana, sasa mnatakaje? Hahaha afu hutaki baby ako akukope hela au? Mbona siku ya kwanza ulimpa akaikataa jamani, atakuwa kapata shida kweli, so mkopeshe tu mweeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli aisee hatueleweki tunapenda kulalamika sasa kama uyo angezungushwa angekuja kulalamika hapa kapewa analalamika..


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ahhaaa sio kiivyo bana, tupigeni hata tarehe mbili tatu jamani inaleta 'apitaiti'
Labda ww ila wengi hawapendi kuzungushwa hayo ya tarehe ni zamani bana.. Mm nataka ukikubali its ok


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
sasa huo ni upendo gani jamani.......naomba utafute namna nzuri ya kuufikisha huo ujumbe kwa wanawake husika.......sidhani hayo matendo yao ni upendo...
 
sasa huo ni upendo gani jamani.......naomba utafute namna nzuri ya kuufikisha huo ujumbe kwa wanawake husika.......sidhani hayo matendo yao ni upendo...

....yatakuwa ni matendo ya huruma!
 
Hiyo ni INVOICE pale mwanzo alikuwa anatoa huduma bro,we lipia tu
Wanawake siku hizi mh! hapana, msisalimiwe??? yaani unakutana na mwanamke anaenda dukani ameacha mboga jikoni, ukimpiga ufunguo tuu..! huyooo utasikia anapiga simu nyumbani anamwambie 'dada' hiyo mboga epua nimepata dharura. siku hizi sio kabisa jamani dada zetu umeongezewa hamu au? ebu punguzeni upendo jamani, upendo gani huu...!

Afu asilimia kubwa ya wanawake mnajiuza indirect, siku ya kwanza unakula papuchi saaafi, mwanaume unajitutumua unatoa wekundu wa msimbazi, ukimpa nasema wee uanipa hela ya nini sijui umenionaje, mzee unachukulia poa tuu, siku ya pili inaenda vizuri tuu, sasa subiri after a week, beb naomba uniazime shl. elfu hamsini nina shida nayo!! mh haya mahesabu vp, ina maana papuchi mara moja ni 25,000 au?
 
Mi ndo maana napendaga wale wajasiriamali wa ucku
 
sasa huo ni upendo gani jamani.......naomba utafute namna nzuri ya kuufikisha huo ujumbe kwa wanawake husika.......sidhani hayo matendo yao ni upendo...

Tumsifu Yesu Kristu sister
 
Mbona me sipati wadada Kama wanao comment Uzi huu.....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom