Wanawake punguzeni ubabe

Huyo mwanaume zoba kufa mtu, yeye alikuwa anafanya kazi gani kwenye hizo biashara za mke wake??

Ningekuwa mimi ningeiba nikafungua branch yangu.

Hivi si kuna ile ishu ya kugawana mali mkiachana??
 
Huyo mwanaume zoba kufa mtu, yeye alikuwa anafanya kazi gani kwenye hizo biashara za mke wake??

Ningekuwa mimi ningeiba nikafungua branch yangu.

Hivi si kuna ile ishu ya kugawana mali mkiachana??

Hilo swala la kugawana mali lipo lakini ni katika mali mulizochuma wote sio zile ulizomkuta nazo mwenzio.
 
Mkuu hizo details nilizotoa ni za kawaida, bado nimeficha mambo mengi kama sehemu aliyokuwa anakaa na mkewe,kampuni aliyowahi kuajiriwa na nyingine nyingi.
We jamaa bwana, haya ngoja rafiki yako asome hii habari yako.
 
Dont trust anybody....even yourself....acha kazi na we unaa acha hilo ndilo kosa....dont trust a woman...hata kama ni mamayo...*****:angry:

Unasema kweli kaka?? Sasa mama si ndio kakuleta duniani.. Naye sio wa kumtrust??
 

Kaka sio kweli mm nna ushuhuda nina jirani yangu ana mlea mme wake kwa miaka nane sasa dada ndio kasoma na analipwa mshahara mzuri.. Anasomesha watoto yeye analipa rent yeye na kulisha familia.. Jamaa yeye elimu yake form four tuu tena division four. Yupo tuu home ila wanapendana aisee hamna mfano..
Hapo ni ikitokea mwanamme ndio hana inabidi kwanza ajikubali na awe muelewa maana wakati mwingine wanaume wasio nacho wasumbufu kutwa kutojiamini..
 

Labda rafiki yako alikuwa na mwanamke mwingine,, mke akawafuma
 
Hilo swala la kugawana mali lipo lakini ni katika mali mulizochuma wote sio zile ulizomkuta nazo mwenzio.

Sawa mkuu, tufanye viceversa sasa, mwanamke amekuja kwangu na begi lake.

Kazi yake ni kukaa nyumbani kama golikipa (kama huyo mwanaume).

Siku tukiachana tutagawana??
 

Duuuh yataka moyo. Binafsi hata kama nimependana na huyo dada (mke wangu)....Siwez shinda home all day cz hata watoto ipo siku watanidharau mm baba yao. Ndio design jamaa ana bahati ila mwanamme kuhangaika na kutafuta pesa bana form 4 mbona bado pazuri tu, kuna watu nawajua wameishia form 4 hyo hyo wanafanya business moves za kufa mtu. Ange partner na mkewe wafungue hata business jamaa akomae na ku i run huku mkewe akiendelea na mishe zingne za ajira. Sio tu jamaa akae ndani kama ndondocha.
 
Unasema kweli kaka?? Sasa mama si ndio kakuleta duniani.. Naye sio wa kumtrust??

YEYE NITAMSHUKURU NA KUMHESHIMU LAKINI SITA M TRUST ASILANI..REF WANAOBEBA MIEZI 9 LAKINI AKIJIFUNGUA HUMTUPA.:angry:
 
YEYE NITAMSHUKURU NA KUMHESHIMU LAKINI SITA M TRUST ASILANI..REF WANAOBEBA MIEZI 9 LAKINI AKIJIFUNGUA HUMTUPA.:angry:

Unajua unachokiongea wewe????
 
ushauri wa mwanamke siyo
 
Asa ubabe hapo uko wapi? Me naona ni mwanaume tu alikosea kuamua kuacha kazi, then kumbe hakua na mke Bali ni jambazi....
nilijitambulisha kwa wazazi,
nikamuweka wazi kwa paparazi,
kumbe sio demu naishi na jambazi,
mbele kumeziba nyuma kuko wazi,
Mwingine amalizie mistari iliyobaki....
 
Kweli kabisa kaka kuishi na mwanamke kunahitaji akili Kuubwa sana kuliko tunavyofikili,..kwa sasa tunahitaji MEN empowerment na sio WOMEN empowerment...
 
Yote hayo hakuna alichofanya kosa kama kuhamia nyumbani kwa mwanamke, ebwana mimi hata ningemkuta na magorofa namwambie uza ama pangisha tukaanzishe maisha yetu mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…