Huyo mwanaume zoba kufa mtu, yeye alikuwa anafanya kazi gani kwenye hizo biashara za mke wake??
Ningekuwa mimi ningeiba nikafungua branch yangu.
Hivi si kuna ile ishu ya kugawana mali mkiachana??
We jamaa bwana, haya ngoja rafiki yako asome hii habari yako.Mkuu hizo details nilizotoa ni za kawaida, bado nimeficha mambo mengi kama sehemu aliyokuwa anakaa na mkewe,kampuni aliyowahi kuajiriwa na nyingine nyingi.
Dont trust anybody....even yourself....acha kazi na we unaa acha hilo ndilo kosa....dont trust a woman...hata kama ni mamayo...*****:angry:
Ebwana eee issue zingine hzi zisikie tu nyumba ya jirani. Mimi nilishaapa mpaka nakufa simuamini mwanamke yeyote duniani hapa isipokua mama yangu mzazi baaaaas !!!! (cz she z been there for me all my life) kuna kipindi almanusra niingizwe kingi na mwanamke flan nlikuwaga nae, Mungu mkubwa nlishtuka mapema.
Ningepoteza hela nyingi sanaa nahisi ningekufa kwa mawazo. Since then all i trust is Jesus. Hawa wanawake wa siku hzi ni pasua kichwa kama we sio mjanja lazma unawekwa kati tu. Nishashuhudia kibaba flan kinafukuzwa kama mbwa na kurushiwa nguo nnje na mkewe hvi hvi kwa mambo kama haya !!!!
Jamaa ilibdi awe ameshamsoma tabia mkewe ki undani sanaaaa way before hajafunga nae ndoa ili ajue anakwenda nae vp (wengi wanaficha makucha najua, ila unahitaj kuwa na intelligence moja makini sanaaa kumjua mwanamke ki undani). 3 years ??? Ndoa bado changa sanaaa hyo. Dah Kweli wanaopenda kuwahi kuoa wacha tu watangulie...sie tuko nyuma tunakuja. Itafika kipindi watu tunazaa tu ila hatuoi cz badala ya kupata amani na faraja ni kero tu daily manina zao.
Bwana we mwanamke siku zote akisha shika hela nyingi akakuzidi huwa hakamatiki, hakunjiki !!! Take it or leave it.
Kuna rafiki yangu niliyemaliza nae chuo kikuu cha ardhi mwaka 2010, mimi na yeye wote tulikuwa tunasoma architecture baada ya kuhitimu rafiki yangu(jina lake naliifadhi) alifanikiwa kupata kazi katika kampuni moja hapa D'salaam, na muda haukupita sana kwani mwaka 2011 kwenye mwezi oktoba alifunga ndoa na mwanamke aliyempenda(jina naliifadhi).
Yule mwanamke aliyemuoa alisomaga mambo ya biashara na hata baada ya kuingia kwenye ndoa alikuwa akijishughulisha na mambo ya biashara wakati mume wake akiwa ameajiriwa, mambo ya biashara kwa yule mwanamke yalimuendea vizuri sana na akawa anapata pesa nyingi sana akamshauri na mume wake aache kazi wafanye wote biashara na yule mume kwa kufikiria kipato alichokuwa anakipata mke wake kutoka kwenye biashara akaamua aache kazi na wafanye wote biashara.
Haukupita mda mrefu sana ndoa yao iliyumba sana kiasi cha kwamba mwanamke akamwambia mume wake mimi na wewe basi, kuanzia leo tusijuane. Mwanaume(rafiki yangu hakuamini) akaamua kumpigia simu mama mkwe wake naye alijibu hivi alichosema mtoto wangu ndo hicho hicho na mimi nipo huko huko, kumbe ata nyumba waliyokuwa wakiishi ilikuwa ya mwanamke kwa hiyo jamaa ilibidi aondoke pale na arudishe mpira kwa goli kipa( aende nyumbani kwa wazazi wake).
Amerudi nyumbani kwa wazazi wake akiwa hana kazi na akiwa hajui pakuanzia.Ndoa ikawa imevunjika baada ya kudumu kwa miaka mitatu tu.
Hilo swala la kugawana mali lipo lakini ni katika mali mulizochuma wote sio zile ulizomkuta nazo mwenzio.
Kaka sio kweli mm nna ushuhuda nina jirani yangu ana mlea mme wake kwa miaka nane sasa dada ndio kasoma na analipwa mshahara mzuri.. Anasomesha watoto yeye analipa rent yeye na kulisha familia.. Jamaa yeye elimu yake form four tuu tena division four. Yupo tuu home ila wanapendana aisee hamna mfano..
Hapo ni ikitokea mwanamme ndio hana inabidi kwanza ajikubali na awe muelewa maana wakati mwingine wanaume wasio nacho wasumbufu kutwa kutojiamini..
Unasema kweli kaka?? Sasa mama si ndio kakuleta duniani.. Naye sio wa kumtrust??
SHEHE MIE SIONGEI NIMEANDIKA:embarrassed:Unajua unachokiongea wewe????
nilijitambulisha kwa wazazi,Asa ubabe hapo uko wapi? Me naona ni mwanaume tu alikosea kuamua kuacha kazi, then kumbe hakua na mke Bali ni jambazi....
Hapo panatopic yenye haja kuuubwa sana,...kufahamika!Ahsante mleta mada hili ni somo.
Kweli kabisa kaka kuishi na mwanamke kunahitaji akili Kuubwa sana kuliko tunavyofikili,..kwa sasa tunahitaji MEN empowerment na sio WOMEN empowerment...Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kumuongoza mwanamke, wanawake wana hekima, ujanja na ulaghai. Mwanamke mara nyingi huamua kujishusha ili maisha yaende. Wanaume ni JASIRI uwanja wa vita lakini si ktk uwanja wa mapenzi.Kumbuka ya Samsoni na Delila au ya Adam na Eva na tunda la katikati.
Yote hayo hakuna alichofanya kosa kama kuhamia nyumbani kwa mwanamke, ebwana mimi hata ningemkuta na magorofa namwambie uza ama pangisha tukaanzishe maisha yetu mbele kwa mbeleKuna rafiki yangu niliyemaliza nae chuo kikuu cha ardhi mwaka 2010, mimi na yeye wote tulikuwa tunasoma architecture baada ya kuhitimu rafiki yangu(jina lake naliifadhi) alifanikiwa kupata kazi katika kampuni moja hapa D'salaam, na muda haukupita sana kwani mwaka 2011 kwenye mwezi oktoba alifunga ndoa na mwanamke aliyempenda(jina naliifadhi).