Wanawake punguzeni kuringa kwenye mitandao ya kijamii

Mnafeli wap? Mademu insta nmewala wengi sana, unavomtxt dem social netw tuliza akili ujue unamwingiaje hta awe mzr kias gan ukienda vzr anakujibu..
NB..
Usipagawe na post zao wwngi wao iPhone zinawabeba ukikutana naye wa kawaida sana yan unaweza hta taman umpe kofi kwa kuringa,, afu wale madem tunaonaga wa kawaida insta hawa ndo wanakuwaga visu htr.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom