Mkuu....Hahahahaha! Imenibidi nicheke tu...jamani mwanaume ni mwanaume tu kamwe hatuwezi kubadili nature hii, na mwanamke ni mwanamke tu. Tatizo ni kwamba wanaume halisi siku hizi ni bahati kuwapata aisee.
Ndiomaana amesema (a woman)Ujumbe ni mzuri ila kwa anayetafuta ndoa.......
Mbona unatukana? Tena tusi la nguoni?
Ww mama!
Yah ki ukwel na kumpata si shuhuli ndogoHahaha. Wapo wachache sana wa hivyo
Ujumbe ulioletwa ni mzuri sana. Mzee mwenzangu enzi zetu wanawake hawakuwa hivi tunavyowaona mtaani kwa sasa.
Kuwa mke na mume ni process, kwahiyo mwanamke wa kukufanya ufanikiwe unamuona tangu haujamuoa.Mind you, walengwa hapo ni mke na mume. Sio wapita njia au wasogeza siku
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu....
Hiki kizazi kilicho fytuliwa kwa mipango ya vidonge na sindano, ndio wahanga wakubwa wa hizi mambo
Sawa. Ila ulichoandika ni kiungo cha mwanamke, pale wote tunapopitia kabla ya kuona juaAme beep nimepiga.
Sawa. Ila ulichoandika ni kiungo cha mwanamke, pale wote tunapopitia kabla ya kuona jua
nakupenda sana basi tu wewe mama .una akili sana mtu anakuita gest ukimwambia alipie tax anakuona mbaya hivi kuna mbaya au mzuri kwa case hii.hata kama ukilipia tax kumfata mwanaume gest si ujinga tu?kayaman,
Nimeusoma ni ujumbe muruwa kabisa lakini hayo yangefaa zaidi kwa mke na mume na si kwa uasherati na uzinzi.
Hata maisha enzi zenu hayakua kama yalivo sasaUjumbe ulioletwa ni mzuri sana. Mzee mwenzangu enzi zetu wanawake hawakuwa hivi tunavyowaona mtaani kwa sasa.
''HESHIMA''Ukweli mtupuu.....
nakupenda sana basi tu wewe mama .una akili sana mtu anakuita gest ukimwambia alipie tax anakuona mbaya hivi kuna mbaya au mzuri kwa case hii.hata kama ukilipia tax kumfata mwanaume gest si ujinga tu?
mimi nimeacha kabisaWacheni uzinzi oaneni.
kwa wote ndoa ndio huja humo humoUjumbe ni mzuri ila kwa anayetafuta ndoa.......
Hapana. Nilikuwa nakukumbusha kuhusiana na matumizi ya hilo neno.Ulitaka niandike kiungo chako?