lovebitelol JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 964 Reaction score 972 Dec 1, 2016 #1 Akina miss chagga na wengine
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,942 Reaction score 23,893 Dec 1, 2016 #3 Ukweli mtupuu.....
Mr.Teacher JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 450 Reaction score 176 Dec 1, 2016 #4 She real tried to explain very precise how do men get rich if they want. In fact NOTED
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,059 Dec 1, 2016 #5 F..ACT
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Dec 1, 2016 #6 Precisely
R Range rover Senior Member Joined Nov 22, 2016 Posts 186 Reaction score 199 Dec 1, 2016 #7 Kwa hili sidhani kama watakuja bila shaka wapo wanakusoma then wamepita zao
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,574 Reaction score 55,644 Dec 1, 2016 #8 Napita[emoji124]
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Dec 1, 2016 #9 ukiskia kaul kama hzo kutoka kwa mwanamke wa kileo naona kama mwili unasisimka vile
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Dec 1, 2016 #11 Self-Conscious lady right there...........
M MKIKUU JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 335 Reaction score 489 Dec 1, 2016 #12 Hahahahaha! Imenibidi nicheke tu...jamani mwanaume ni mwanaume tu kamwe hatuwezi kubadili nature hii, na mwanamke ni mwanamke tu. Tatizo ni kwamba wanaume halisi siku hizi ni bahati kuwapata aisee.
Hahahahaha! Imenibidi nicheke tu...jamani mwanaume ni mwanaume tu kamwe hatuwezi kubadili nature hii, na mwanamke ni mwanamke tu. Tatizo ni kwamba wanaume halisi siku hizi ni bahati kuwapata aisee.
mgesa JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 997 Reaction score 947 Dec 1, 2016 #13 Hili neno! Mimi ke ila kwakweli wananiboa sana wanawake waomba vocha kila siku.
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,508 Reaction score 15,514 Dec 1, 2016 #14 Basi msiwe na wasiwasi kujua ni kina nani hao maana mtawajua kwa mapovu yao.
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Dec 1, 2016 #15 CHARMILTON said: Basi msiwe na wasiwasi kujua ni kina nani hao maana mtawajua kwa mapovu yao. Click to expand... π
CHARMILTON said: Basi msiwe na wasiwasi kujua ni kina nani hao maana mtawajua kwa mapovu yao. Click to expand... π
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,444 Dec 1, 2016 #16 FaizaFoxy we bibi umesoma huu ujumbe?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Dec 1, 2016 #17 kayaman said: FaizaFoxy we bibi umesoma huu ujumbe? Click to expand... Bado, ngoja niusome.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Dec 1, 2016 #18 kayaman, Nimeusoma ni ujumbe muruwa kabisa lakini hayo yangefaa zaidi kwa mke na mume na si kwa uasherati na uzinzi.
kayaman, Nimeusoma ni ujumbe muruwa kabisa lakini hayo yangefaa zaidi kwa mke na mume na si kwa uasherati na uzinzi.
Neggredo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 579 Reaction score 682 Dec 1, 2016 #19 Nyie mnasubir waje wakati wasoma nakupita kimya kimya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1321][emoji1321]
Nyie mnasubir waje wakati wasoma nakupita kimya kimya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1321][emoji1321]
Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 6,350 Reaction score 11,730 Dec 1, 2016 #20 Ujumbe ni mzuri ila kwa anayetafuta ndoa.......