Sasa kumbe walogeuka unawajua, si uwape ushauri warudi njia kuu!!Ni kweli mkuu ila hali ilivyo kwasasa watu hawakumbuki hilo bali wanatumia nafasi hiyo kuwadharau.
Atakuheshimu vipi ikiwa wewe ni mtu wa kula kulala?
Kwahiyo twende kinyume na maandiko?mkuu, sasa kama ni hivyo basi wasilalamike kutawaliwa na wanaume kwa sababu Imeandikwa pia HUYO MWANAUME ATAKUTAWALA NA TAMAA YAKO ITAKUWA KWA MUMEO.
Njia pekee ya kuwatoa hapo ni wao kujitegemea
Kuna viumbe wanaongoza kwa kulialia km wanaume wa siku hizi. Hebu jiulize na wewe!sasa mnacholilia ni nini dada etu!!
Mkuu sasa mimi nilie lie kwa kitu gani wakati nikiamua kubadilisha wanawake ninauwezo wa kufanya hivyo hata 5 kwa siku.Kuna viumbe wanaongoza kwa kulialia km wanaume wa siku hizi. Hebu jiulize na wewe!
Kwa suala la kubadilisha wote tu wana uwezo wa kubadilisha, hapo ni suala la utashi tu.Mkuu sasa mimi nilie lie kwa kitu gani wakati nikiamua kubadilisha wanawake ninauwezo wa kufanya hivyo hata 5 kwa siku.
Mnao lalamika ni nyinyi kwa kudai kuwa mnanyanyaswa na kukandamizwa na wanaume.
Nimekuoa umekuja na begi lako la nguo umenikuta na kila kitu then umekuwa mama wa nyumbani sasa ni utakuwa na jeuri gani kwangu.
Nyinyi ndio mnatakiwa kujinasua sio sisi fateni tu ushauri tunao wapa.
Pole kadada naona umelalamika sana ila nilichokieleza hapo nafikiri umekielewa.Anzeni NA ninyi kwenda Leba.Kusaidiana tunasaidia tena sana.But msikimbie Majukumu.Wanaume wa Leo wanapenda sana Dezo.Ivi mngekuwa mnabeba mimba mnazaaa ingekuwa je....Yaani hamjui Mungu aligawanya majukumu.Kuzaa nizae Mimi mimba nibebe Mimi NA kukulisha juu mahitaji yote.Labda ungesema kusaidiana anapoweza NA Si.lazima.Mbona tunafanya mengii ambayo yanatosha sana kiasi kusema Tena NA kuhangaika hapana.Kazi tunafanya Tena sana Mpaka tunajenga Sasa.Ila Sio Wewe.mwanamme ubwetekeee Ni jukumu.lakoooo.Basi tusindikizane NA kukamua watoto
Sasa kati yako na yeye alolalamika nani? Mnyanyasaji ni mnyanyasaji tu hata awe konda we uwe milionea, we ondokana na mentality za kinyanyasaji, na usilalamike maana hayo unayotekeleza ni majukumu/wajibu wako. Sio ndio ushikie bango.Pole kadada naona umelalamika sana ila nilichokieleza hapo nafikiri umekielewa.
Utakapojitahidi kuwa na chako wewe kama mwanamke mwanaume hawezi kukufanyia anachokitaka yeye.
mkuu nilichokieleza hapo kwenye mada kuu, ni kwa namna gani mwanamke ataondokana na mfumo dume unao mkandamiza na njia rahisi ya yeye kujitoa huko ni yeye mwenyewe kuishi bila kumtegemea mwanaume sisemi kwamba wanaume hawana madhaifu hapana.Sasa kati yako na yeye alolalamika nani? Mnyanyasaji ni mnyanyasaji tu hata awe konda we uwe milionea, we ondokana na mentality za kinyanyasaji, na usilalamike maana hayo unayotekeleza ni majukumu/wajibu wako. Sio ndio ushikie bango.
Kwani lini uliona tunalalamika kuhusu kuzaa!! Nyie mbona hilo jukumu dogo tu tena nalo bado mnasaidiwa lakini yanawatooka!! Kuweni WANAUME bwana.
Kwahiyo unashauri wanaume wawanyanyase tu wake/wapenzi wao mpaka hapo hao wanawake watakapoamua kujikwamua?? Kwanini wawanyanyase ikiwa ni jukumu lao la kiasili kama wanaume?mkuu nilichokieleza hapo kwenye mada kuu, ni kwa namna gani mwanamke ataondokana na mfumo dume unao mkandamiza na njia rahisi ya yeye kujitoa huko ni yeye mwenyewe kuishi bila kumtegemea mwanaume sisemi kwamba wanaume hawana madhaifu hapana.
Ila anae umia zaidi hapa ni mwanamke. Wewe unasema hivyo kwa kuwa umesha fanikiwa kujitoa na si tegemezi kwa wanaume lakini kuna wengine ambao bado wapo gizani, manyanyaso wanayopata toka kwa wanaume ni makubwa.
Je wataponaje hapo? ndicho nilichoeleza kwenye mada kuu
pole dadaangu kumbe ndo mana unahasira hivo!Kwahiyo unashauri wanaume wawanyanyase tu wake/wapenzi wao mpaka hapo hao wanawake watakapoamua kujikwamua?? Kwanini wawanyanyase ikiwa ni jukumu lao la kiasili kama wanaume?
Mie sijajikwamua na wala mpango sina, hata bando tu nawekewa.
pole dadaangu kumbe ndo mana unahasira hivo!
sawa kadada mpaka hapo umeleewa nilikuwa nalenga nini kwenye mada kuu.Hasira ya nini sasa!! Mwanaume anatimiza majukumu yake nami natimiza yangu, walaaaa hatuna taabu sie. Nyie matumbili mnaonyanyasana kisa mmeshika buku poleni tu.