Wanawake pitieni hapa

namba 1 kama tupo ngoma droo vile na wanaume
namba 5 imenifurahisha
wachache sana wenye jeuri ya kusema hivyo lakini walio wengi bado wapo kifungoni.
Kwao mume ndo kila kitu hata akitishia kumchinja bado mwanamke huyo ataendelea tu kukaa hapo hapo mwenyewe akiamini hana pa kwenda.
 
Asante mno kwa kutukumbusha. Binafsi hilo linaniumizaga sana hasa wale waliotegemezi huwa natamani ningekuwa na hela niwape mikopo wooote, mwanamke ukishakuwa tegemezi mwanaume ndo anapata nafasi ya kukudharau bwana
Ndo mana tunawakumbusha hapa, Amkeni.
 
Wanawake wana akili sana japo wapo wengi wasiojielewa. Big up to my mama na wanawake wote ambao ni vichwa wa familia.
 
MWANAMKE AKIMZIDI MWANAUME KIPATO HUMDHARAU NA KUMUONA HANA TOFAUTI NA YEYE.... HIVYO JITAHIDI KIPATO CHAKO KIZIDI CHA MKEO
 
MWANAMKE AKIMZIDI MWANAUME KIPATO HUMDHARAU NA KUMUONA HANA TOFAUTI NA YEYE.... HIVYO JITAHIDI KIPATO CHAKO KIZIDI CHA MKEO
kwaiyo uhalalisha kuwa muendelee kuwa chini yetu.
 
kwaiyo uhalalisha kuwa muendelee kuwa chini yetu.
hata vitabu vya dini vinasema hivyo. wote tukiwa juu nyumba haitakuwa na maelewano. japo simaanishi upige mke au umtendee mabaya, simama kama baba. Mkeo akitoa laki 1 ya matumizi wewe toa laki 2 au 1 na nusu
 
Tatizo linalokuja ni kwamba sio wanaume wote wanaolifahamu hilo walio wengi ni kandamizi so ili mwanamke utoke hapo ni lazima uache utegemezi kwao.
 
Tatizo linalokuja ni kwamba sio wanaume wote wanaolifahamu hilo walio wengi ni kandamizi so ili mwanamke utoke hapo ni lazima uache utegemezi kwao.
vijana nyie wa siku hizi hamuelewi mambo kwamba familia yako unapaswa kuihudumia.
 
vijana nyie wa siku hizi hamuelewi mambo kwamba familia yako unapaswa kuihudumia.
sio vijana wa siku hizi tu,
Zamani unyanyasaji wa wanawake ulikuwa mkubwa zaidi japo ni kweli walihudumiwa bila wao kuwajibika.
 
sio vijana wa siku hizi tu,
Zamani unyanyasaji wa wanawake ulikuwa mkubwa zaidi japo ni kweli walihudumiwa bila wao kuwajibika.
siku moja moja mbebe mimba ili muende sambamba
 
wachache sana wenye jeuri ya kusema hivyo lakini walio wengi bado wapo kifungoni.Kwao mume ndo kila kitu hata akitishia kumchinja bado mwanamke huyo ataendelea tu kukaa hapo hapo mwenyewe akiamini hana pa kwenda.
kuna wanawake sijui wamelogwa na mganga gani walahi, kama kuna dada mmoja aliolewa na libaba limoja, ila hilo libaba utulivu zero, ila cha kunishangaza huyo dada juzi eti kataka kujiua kisa kaudhiwa na mwanaume
 
Umewadanganya hata kama umetumia nguvu kuwafanya wakuelewe.Mwanamke si kichwa wala hakuwah kuamliwa kula kwa jasho,na unaposema wanakubali kuolewa mke wa pili au wa 3 ni hawana namna coz mko wengi na sisi wanaume tupo wachache,by the way pia hatuwezagi kua na mwanamke m1 siku zote ndo mana wengi huchepuka kwa kisingizio cha dini hailuhusu kuoa mke zaidi ya m1,haya yote MUNGU aliyajua.sasa wewe wadanganye
 
mimi sijawadanganya ila sema tu ukweli wewe unataka kutetea huo uzinifu na mitamaa ya kijinga eti kwamba mwanaume hawezi kutulia na mke mmoja.
Ni wanaume wenye tabia za mbwa tu ndo wapo hivyo sio kila mtu.
 
namba 5 ni ukweli mtupu. tuchukue tu hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…