Wanawake pia wana ndoto zao kimapenzi

Wanawake pia wana ndoto zao kimapenzi

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,444
Wiki iliyopita nilishinda mkoa wa Manyara, katika shughuli ambayo ilitukutanisha watu si chini ya 50 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania.

Kama kawaida, couples zikajiunda ndani ya masaa kadhaa!! Sisi wazee tukabaki watazamaji tu.

Kuna binti hakutaka kujiunga katika mkumbo wa wenzie!! Binti mrembo, msomi na mwenye haiba zote za kike!!

Akajichanganya na sisi wazee tuliohusudu stories na michezo hususani mpira wa miguu.

Nikamuuliza kulikoni binti unakimbia kundi lako, akajibu nishatembea na kila aina ya wanaume. Ndoto yangu nimpate Mmasai, namaanisha Mmasai kabisaa toka kijijini haswa nimwogeshe mwenyewe na kila kitu ila awe mrefuu. Ndiyo ndoto yangu iliyobaki!!

Tulipoingia field akaunganishwa kwa kijana Mmasai hata kiswahili vizuri hajui! Mchafuuu ananuka ng'ombe balaa!! Aiseee nilijua utani, binti kamgharamikia kijana jioni ile ile katua mjini

Nashindwa nieleze nini lakini binti kachanganyikiwa na Mmasai kwa siku tatu walizokaa pamoja, anataka amchukue amleee kijana yule wa Kimasai!!

Kumbe, hata wanawake mna ndoto zenu kimapenzi? Pongezi kwa huyu binti asiyechagua mwanaume
 
Hajachagua mwanaume kivipi akati umeandika amesema anataka mwanaume mrefu wa kimasai anayenuka ng'ombe

Ama hujui maana ya neno kuchagua?
Nadhani uelewa!! Kwa level zake angekimbizana na wakaka wavaa skin jeans lakini kaingia vijijini kutaka Mmasai!!
 
Huyo binti inaonekana wanaume wa dar wanamchafua ikabidi atafute og
 
Kama ameshatembea na wanaume wa aina zote kama alivyosema, haishangazi kama atamtaka mmasai
 
Sema huyo dada atakuwa anamiliki kapu hapo kati
 
We mzee mzembe sana umeshindwa kumkunja huyo bint?
 
Binti alikuwa na ndoto za kuoa si ndo maana yake???au mimi nimeelewa vby au alikuwa ana ndoto za kuwa mwanaume kubeba majukumu ya kiume au alikuwa na ndoto za kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia atumike hukoooo weeee hlf aje atafute kijana asiyejua wanawake waliotumika wapoje ambambikie msala...
 
Point ni kwamba amechagua

Haijalishi ni kwa level gani

Upo sahihi kabisa, nimekuelewesha muktadha niliolitumia hilo neno na unakubalika kabisa! Kama umeelewa lakini bado unabisha basi we mbishi by nature!!
 
Back
Top Bottom