Wanawake nyinyi ndiyo wakutuokoa!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimegundua wanaume wengi tuingiapo ktk mahusiano mapya mara nyingi hutumia kondom lakini ikishafika wiki nakuendele ujiripua!!Na hata saa nyingine hutumia kondom Bao la kwanza yanayofuata ujiripua!!Wito kwa wanawake mnaweza kutulazimisha mda wote tukatumia Kondom!!Hata hivyo nanyinyi hamzipendi kwenye majamboz eti ampati raha!!!
 
Kichwa chako cha habari kinapingana na mada yako ya nyuma!Ulishasema kwamba "wanawake ndo kikwazo cha maisha" sasa leo hii watawezaje kukuokoa wewe na wenzio ambao mnadhani bila wanawake maisha yenu yangekua bora zaidi?Nashangaa hata bado wanawake wako kwenye mawazo yako...hamia kwenye kisiwa kisicho na wanawake ili hata hiyo C usihitaji!
 
Duuuh
Mkuu leo Wanawake waokoe wanaume???!!
Basi kumbe wanaoleta matatizo duniani ni wanaume na sio wanawake, maana wanaume ndio hutaka ku-do bila ndom, na mwisho wa siku magonjwa kibao ya zinaa duniani
 
Hahaha mwanangu, kumbuka waswahili wasemavyo 'umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.'
 
Nimegundua wanaume wengi tuingiapo ktk mahusiano mapya mara nyingi hutumia kondom lakini ikishafika wiki nakuendele ujiripua!!Na hata saa nyingine hutumia kondom Bao la kwanza yanayofuata ujiripua!!Wito kwa wanawake mnaweza kutulazimisha mda wote tukatumia Kondom!!Hata hivyo nanyinyi hamzipendi kwenye majamboz eti ampati raha!!!

Ha ha haaa mkuu huwa unajaribu kama utasikia utamu wa pipi kwenye nailoni....:lol::lol:
 
Hivi ni sababu gani haswa inakufanya utumie condom? na nisababu gani hasa inayokusababisha usitumie hiyo condom?
 
Kichwa chako cha habari kinapingana na mada yako ya nyuma!Ulishasema kwamba "wanawake ndo kikwazo cha maisha" sasa leo hii watawezaje kukuokoa wewe na wenzio ambao mnadhani bila wanawake maisha yenu yangekua bora zaidi?Nashangaa hata bado wanawake wako kwenye mawazo yako...hamia kwenye kisiwa kisicho na wanawake ili hata hiyo C usihitaji!
Kwa hili hata dunia inajua!!
 
sikujua kama hata wanawake wanaweza kuokoa, nilijua aokoae ni Mungu pekee, yy anasema ni "Bwana wa vita na shujaa awezaye kuokoa"
 
Duuuh
Mkuu leo Wanawake waokoe wanaume???!!
Basi kumbe wanaoleta matatizo duniani ni wanaume na sio wanawake, maana wanaume ndio hutaka ku-do bila ndom, na mwisho wa siku magonjwa kibao ya zinaa duniani

Takwimu zinaonyesha wanawake ndo wanaongoza kwa maambukizi.
 
Kichwa chako cha habari kinapingana na mada yako ya nyuma!Ulishasema kwamba "wanawake ndo kikwazo cha maisha" sasa leo hii watawezaje kukuokoa wewe na wenzio ambao mnadhani bila wanawake maisha yenu yangekua bora zaidi?Nashangaa hata bado wanawake wako kwenye mawazo yako...hamia kwenye kisiwa kisicho na wanawake ili hata hiyo C usihitaji!

Mwambie huyo! Asitukane wakunga ..........
 
Back
Top Bottom