sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
Yaani dada zangu kwa hii story ifuatayo mwenzenu amecheza chini ya kiwango..
Mkazi mmoja wa Buza kwa Lulenge (Yombo) anaeitwa Mustapha Mchele amemuua mwanae kwa kumcharaza mapanga baada ya mama wa mtoto huyo kumueleza (wakati wanagombana) kuwa mtoto huyo alieitwa Gift Mustapha sio wa kwake..
Yaani pamoja na Jamaa kuwa mkatili kiaci cha kuua (na hakuna justification morally) alikuwa provoked kiaci cha hacira kuchukua mkondo na kufanya mauaji hayo..
Kwa nini mwanamke aliamua muda mbovu kama huo (wakiwa kwenye ugomvi) kusema maneno mazito kama hayo...?
Hii imeongeza sababu za matumizi ya DNA.. Hakuna ambae yuko salama.. Wanaume wote JF amkeni.. Shauri zenu..