Wanawake nyie.. Soma hii.. Mwanaume amuua mwanawe baada ya kuambiwa mtoto ci wake na mama wa mtoto..

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,462
Yaani dada zangu kwa hii story ifuatayo mwenzenu amecheza chini ya kiwango..

Mkazi mmoja wa Buza kwa Lulenge (Yombo) anaeitwa Mustapha Mchele amemuua mwanae kwa kumcharaza mapanga baada ya mama wa mtoto huyo kumueleza (wakati wanagombana) kuwa mtoto huyo alieitwa Gift Mustapha sio wa kwake..

Yaani pamoja na Jamaa kuwa mkatili kiaci cha kuua (na hakuna justification morally) alikuwa provoked kiaci cha hacira kuchukua mkondo na kufanya mauaji hayo..

Kwa nini mwanamke aliamua muda mbovu kama huo (wakiwa kwenye ugomvi) kusema maneno mazito kama hayo...?

Hii imeongeza sababu za matumizi ya DNA.. Hakuna ambae yuko salama.. Wanaume wote JF amkeni.. Shauri zenu..
 
Yap ni huzun lakin tumejifunza, 2sikurupuke na 2kumbuke hasira ni hasara. 2kiambiwa ukwel, 2kacheck DNA kuthibitisha then 2songe mbele, kila m2 kivyake kimya kimya bila panga.
 
Na nyie wanawake kwa nini mtembee nje ya ndoa? Ona sasa tuone kama huyo mme wake atamsaidia maana huyo mwanaume ataenda jela sababu ya huyo mwanamke.
 
Wazee wetu zamani hawakusoma lakini walijaaliwa kuwa na saikolojia ya hali ya juu.... Na ndio maana walibuni msemo usemao... "KITANDA HAKIZAI HARAMU"

Msemo huo ulipunguza makali ya kutuhumiana na kunyoosheana vidole pale wenzetu wanapochepuka................
 
Yap ni huzun lakin tumejifunza, 2sikurupuke na 2kumbuke hasira ni hasara. 2kiambiwa ukwel, 2kacheck DNA kuthibitisha then 2songe mbele, kila m2 kivyake kimya kimya bila panga.

Mkuu ukweli uambiwe kwenye hali ya usalama.. Sio wakati mna ugomvi mkubwa halafu ndo mwanamke aropoke hilo.. Maana huyu aliamua kuropoka hilo kwa sababu ya kumtia uchungu mwenzie.. Matokeo yake amesababisha matatizo makubwa..
 
Wazee wetu zamani hawakusoma lakini walijaaliwa kuw ana saikolojia ya hali ya juu.... Na maana walibuni msemo usemao... "KITANDA HAKIZAI HARAMU"

Msemo huo ulipunguza makali ya kutuhumiana na kunyoosheana vidole pale wenzetu wanapochepuka................

Mkuu Mtambuzi nilishawahi kulisemea hilo kwenye uzi mmoja hapa kama wiki 2 au 3 zilizopita.. Na nikasema Wazee wetu walienda mbali zaidi na kumfanya Mjomba kuwa na nguvu sana kwenye maamuzi ya mtoto.. Hili ninaamini lilichangiwa na uhakika wa Mjomba kwenye undugu na mtoto..
 
Hapa kuna tatizo la busara na hekima zaidi,mtu yoyote mwenye busara hawezi kufanya maamuzi ya aina yoyote akiwa ana hasira na mara zote wanaochukua maamuzi wakiwa na hasira mwisho wake ni majuto kama huyu bwana.Ameua kiumbe kisicho na hatia.Hata kama mtoto sio wako una mamlaka gani ya kutoa uhai wake,kwangu mimi namuona huyo mwanaume kama mtu wa hatari zaidi kwa jamii kuliko hata huyo mwenzie aliyemwambia kuwa mtoto sio wake...
 
Wanawake wana midomo michafu sana na hasa katika kipindi cha ugomvi. Nilisha msikia mke wa mtu akimtukana mumewe katika wanaume na wewe upo, kwanza una kibagia tu.
Mungu kaumba mwanaume atabaki kuwa kichwa cha familia kamwe hata kuwa chini, na kitakacho fuata hapo ni madhara makubwa kama haya.
 
Hapa kuna tatizo la busara na hekima zaidi,mtu yoyote mwenye busara hawezi kufanya maamuzi ya aina yoyote akiwa ana hasira na mara zote wanaochukua maamuzi wakiwa na hasira mwisho wake ni majuto kama huyu bwana.Ameua kiumbe kisicho na hatia.Hata kama mtoto sio wako una mamlaka gani ya kutoa uhai wake,kwangu mimi namuona huyo mwanaume kama mtu wa hatari zaidi kwa jamii kuliko hata huyo mwenzie aliyemwambia kuwa mtoto sio wake...

Mkuu nimekupata vizuri kabisa kwamba busara inashauri kutofanya lolote unapokuwa na hacira.. Ila kwa keci ya huyu Mustapha.. alikuwa kwenye ugomvi na mkewe (tayari alikuwa na hacira).. akapewa tena taarifa ambayo ni kubwa na katika hali ile aliekuwa nayo (ya hacira). Inawezekana akili yake ili-snap.. Cimtetei ila najaribu kuangalia kama alikuwa provoked..
 
Na hapo ndipo busara inapohitajika zaidi,kuna watu ambao hawawezi kuongoza mihemuko yao wakati wakiwa na hasira,na inashauriwa watu wa aina hiyo waepuke mazingira yatakayopelekea wao kukasirika japo ni vigumu.Alichotakiwa kufanya huyo kijana ni kuondoka katika eneo la ugomvi huo kati yake na mwenzake kabla au hata baada ya kupata taarifa hizo ili kuepusha madhara zaidi.Sitetei upande wowote katika hili kwani wote wawili ni wakosefu ila nachojaribu kuelezea ni kwa sisi wanaume ambao mara nyingi ndio tunatakiwa kuwa viongozi kuweza kuwa na misimamo na uwezo wa kutoa maamuzi stahiki katika hali na mazingira tofauti na si kuonyesha uanaume wetu ambao baadaye unakuja kuwa majuto..
 
Mkuu ukweli uambiwe kwenye hali ya usalama.. Sio wakati mna ugomvi mkubwa halafu ndo mwanamke aropoke hilo.. Maana huyu aliamua kuropoka hilo kwa sababu ya kumtia uchungu mwenzie.. Matokeo yake amesababisha matatizo makubwa..
Kwahyo unamtetea aliyekuwa kashika panga? Ha2jui kilichotokea zaid chumban, lakn hasira zingeweza kuzuilika.
 
Kwahyo unamtetea aliyekuwa kashika panga? Ha2jui kilichotokea zaid chumban, lakn hasira zingeweza kuzuilika.

Mkuu citetei hapa ila ninaangalia mazingira yalioleta tukio Mkuu.. Ni kama vile uingie chumbani na kumkuta mke wako kitandani na mwanaume mwingine.. Utapanga kudhibiti hacira zako..? Unajua kwamba kwenye hali kama hiyo akili ina-snap..?
 
Back
Top Bottom