Wanawake nyie ni viumbe hatari sana

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
SABAU KHERI,Wana mmu wooote. Fuatana Nani katika huu mkasa unaohusu wanawake,nanyi wanawake msome msikae mbali.

Huku kisa,kimetokea kwenye familia yetu. Marehemu mzee,alioa mwanamke mwingine ambae ni mama yetu mlezi,baada ya kumuacha mama yangu,alimkuta na mtoto wa kiume(alioa single mother) enzi hizo. Jamaa tumekua naye na kusoma Kama mtu na broo wake mpaka Leo tunaheshimiana hakuna anaejua mtaani ila broo anapiga kazi mkoa mwingine,Nani napiga mkoa mwingine,baada ya broo kuanza kazi huko mkoa, akapata mwanamke akaoa,wakajaaliwa kupata watoto 2.

Kama kawaida,sisi wa kiumeni hua hatunaga manzi mmoja,broo akawa Yuko so open,kwa manzi zake mpaka wife wake akawa anajua.

Likizo moja broo na wife wake wakatia timu DSM kuwaona wazazi,yule wife alikubalika Sana kwa bi mkubwa,Maza wangu wa kambo, katika story story,yule Shem akamchomekea bimkubwa kwamba mwanao mtu wa kuruka Sana na totoz. Wanawake, wakaanza kushauriana mbinu za kumtuliza broo Cha ajabu wakaungana,mama mkwe na mke wa broo kumtuliza broo,huku broo hajui lolote wakaenda kwa sangoma,mke wa broo,mama mkwe na dada yake mama mkwe ,wakafanikiwa broo akawa sio Tena mtu wa totoz.

Broo,alikua akipiha maji yake anarudi home kutumia na familiahapo wakatangaza ushindi. Sasa kitimtim kikaanza kwa wife wa broo,yeye Sasa akawa macho juu anatembeza Sana kwa watu mbususu.mama mkwe akazinasa info,maana alikua anawafuatilia wote Kama KGB sijui,alitumia njia gani anajua mwenyewe.

Baada ya mama mkwe kukamilisha ushahidi kwamba mkwewe hajatulia,na alishiriki kumtuliza mtoto wake,alichofanya Sasa mama mkwe alienda kwa sangoma yule yule yeye na dada yake, wakaenda kuvunja Ile ndoa. Baada ya muda wa wiki tatu,broo alinipigia simu na kuniambia nimemuacha mke wangu,maana nimeshindwa kuelewana nae, . Uchawi upo acha tu, kumuuliza bi mkubwa, anasema Kaka yako mlevi ndo maana kashindwa kukaa na mke.

Basi Kila mmoja Yuko na Maisha yake kwa Sasa na watoto wako kwa broo,na broo katafuta na kuoa mwanamke mwingine. Life linaendelea Kama kawa.

SASA wanawake maswali yangu kwenu.
1. Hivi unawezaje kumuendea kwa mganga mwanao kwa ajili ya mtu mwingine
2. Yaani kabisa unaamua kuvunja ndoa ya mwanao ili kumkomoa mkweo?

Hii ilitokea Kati ya 2000 na 2003 Ila nimekuja kuifahamu kupitia dada yangu binamu,ambae Yuko close na bimkubwa wangu, mwaka Jana mwishoni 2020.

Na nimeambiwa kwa kuwa huyo binamu,nilikua na naendelea kumbandua. Dah! Wanawake nyie, hata kwenye ukiboko mmepita, nyie tembo Tena.

Ahsante I kwa kusoma
 
Na wewe unamla tena binamu yako ambaye yupo karibu na mama yako?
Wonders shall never end...
 
...

IMG_20210608_174425.png
 
Na nimeambiwa kwa kuwa huyo binamu,nilikua na naendelea kumbandua.
Dah!
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
Wanawake nyie,hata kwenye ukiboko mmepita,nyie tembo Tena.
Ahsante I kwa kusoma
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
Hahahàahaa dah. Mi story nzima nimeona hapa tu ndio penye umesema ukweli
 
Back
Top Bottom