malimungu
Member
- Apr 8, 2019
- 96
- 95
Ukubwa dawaMara nyingi wale wakubwa kuanzia 30+ hawasumbui
Ukubwa dawaMara nyingi wale wakubwa kuanzia 30+ hawasumbui
Changamoto iliyopo kwa hawa huwa ni garama,mara nyingi wanaangalia mahitaji yao ya kimaisha..biashara,kazi n.kUmenikumbusha mbali sana mkuu!!!
Kuna jamaa yangu yeye alishajiwekea maamuzi kwamba hawezi kutongoza mwanamke ambaye ni under 30 labda kwa bahati mbaya ama kwa kutojua age yake.