Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
- Thread starter
- #21
Sababu tumeshindwa kuelewa kwahiyo tunahitaji ushuhudaSasa si ungeuliza hao waliofanya hayo maigizo
Ushuhuda wa nini sasa
Sababu tumeshindwa kuelewa kwahiyo tunahitaji ushuhudaSasa si ungeuliza hao waliofanya hayo maigizo
Ushuhuda wa nini sasa
Kuna mbinu fulani niliipata humu iliniwezesha kumnyaka mtu mahali fulani huko duniani bila maneno mengi.
1.Katika sheria kukaa kimya nafikiri inamanisha ni hapana/kukataa....japo kuna some excemptions so the option ni wewe kukaa kimya kama yeye ama kuendeleza jitihada za kumtext na kumpigia hadi utakapoona umechoka
2.Kuhusu kutozwa kodi hapo ni suala ambalo ni inevitable kwasababu uko na mission ya kumteka huyo unayemtaka so utalipa kodi hadi amalize kukufikiria
3.Hii ya tatu nafikiri huwa tunamaanisha hii nyimbo hapo chini
Nataka nisikie umeukubali wimbo wa fid Q na Roza ree nikupigie saluti.
Kabla sijaagiza naomba wasifu wa mtoa ofa. Unajua nakujali sana na sipendi wakulagai...
1.Katika sheria kukaa kimya nafikiri inamanisha ni hapana/kukataa....japo kuna some excemptions so the option ni wewe kukaa kimya kama yeye ama kuendeleza jitihada za kumtext na kumpigia hadi utakapoona umechoka
2.Kuhusu kutozwa kodi hapo ni suala ambalo ni inevitable kwasababu uko na mission ya kumteka huyo unayemtaka so utalipa kodi hadi amalize kukufikiria
3.Hii ya tatu nafikiri huwa tunamaanisha hii nyimbo hapo chini
Kabla sijaagiza naomba wasifu wa mtoa ofa. Unajua nakujali sana na sipendi wakulagai...
Ni afadhali nikuoe mwenyewe kuliko upotee njia
Haya matirio ya kukamatia PhD ya ubanguaji korosho sijakufundisha mimi. Leo utaniambia kama unaenda twisheni na nani kakulipia twishen fiiz.
Ni kweli mkuu changamoto iliyopo ni kubebeshwa majukumu ya kifamiliaUshauri wako nitazingatia
Mashavu toa ushuhudaSasa si ungeuliza hao waliofanya hayo maigizo
Ushuhuda wa nini sasa
Sasa si ungeuliza hao waliofanya hayo maigizo
Ushuhuda wa nini sasa
Kuna maswali huwa yananitatiza kidogo kuhusu kumtongoza mwanamke!
1:unapoanza kumtongoza mwanamke wengine wana tabia ya kutokujibu sms kwa wakati,ama asijibu kabisa ama akawa ana ignore Simu zako n.k huwa mnamaanisha nini!?Kama hutaki si unasema sitaki!!!
2:kuna wengine eti ngoja nikufikirie!wakati huu huo anataka kukutoza kodi za TRA,huwa mnamaanisha nini!?
3:Wengine Mara bado mapema wakati still ni muda umepita analeta hadithi njoo uongo njoo tamkolea!huwa mnamaanisha nini!?
Mwanamke ukibali haraka ama uchelewe kukubali haibadilishi kitu kama wewe ni Kicheche
Wanawake njooni mtoe ushuhuda hapa!
Sijaukubali kabisa
Iyo avatar yako tata sanaNi kweli kabisa inatakiwa tukubali harakaharaka
KwannIyo avatar yako tata sana
Nimeisahau mkuu. ilikuwa ni mbinu ya kumnyaka SMIweka hapa mkuu ili isiwe kinyonge tena
Umenikumbusha mbali sana mkuu!!!Mara nyingi wale wakubwa kuanzia 30+ hawasumbui