Wanawake njooni mseme ukweli

Hapo kwenye turumba nakazia hapo, muhimu sana hapo, na ukipigwa turumba vizuri usishee na mashosti, utaibiwa mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake hawaeleweki shetani mwenyewe anawajua, hapa wataandika mengi lakini kumbe ni kinyume na yaliyomo kwenye mioyo yao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 

Tatizo lipo kwenye utekelezaji
 
Nikiamua kuchepuka hata unipe ikulu haunizuii....

Akili yangu naijua mwenyewe.... cha muhimu hakikisha nakuheshimu ila nyegee zikipanda navua tuu hata unipe mbingu......

Don’t bother....
Mbona ulikuja hapa ukaaminisha wana Jf kuwa wewe ni wife material!?[emoji23] kumbe maharage ya mbeya yanaiva hata kwa kuanika juani

Sent by Diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…