Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
TUPO PAMOJA TENA ANGEANDIKA KWA HERUFI KUBWAHiyo point ya mwisho nimeipenda, nimeinyaka vyema . Wangu amekamilika kila idara ila nitatilia mkazo hilo la mwishooo
TUPO PAMOJA TENA ANGEANDIKA KWA HERUFI KUBWAHiyo point ya mwisho nimeipenda, nimeinyaka vyema . Wangu amekamilika kila idara ila nitatilia mkazo hilo la mwishooo
Mkuu kwani wewe ni mwanamke? samahani lknHivi kila kiungo cha mwili kinatakiwa kipakwe mafuta. ? Huwa sifanyi hivyo
rudisha ile avatar yakoHiyo point ya mwisho nimeipenda, nimeinyaka vyema . Wangu amekamilika kila idara ila nitatilia mkazo hilo la mwishooo
Bila samahani.....ila najua unajua jinsia yangu. Labda swali limelenga kibangara gani!Mkuu kwani wewe ni mwanamke? samahani lkn
Mkuu nimeona wamaitwa wanawake tu ila wanaume tumeparamia huku ikabidi nianze kuhojiBila samahani.....ila najua unajua jinsia yangu. Labda swali limelenga kibangara gani!
Wanaume wengi hawapaki mafuta sehemu mbali mbali za miili yao. Sehemu kama makalioni na miguuni. Hii huwafanya ngozi za maoneo tajwa kuwa kavu na ngumu zilizozeeka. Sehemu za makalio huwa na vipelevipele na ngozi ya eneo hili huwa kama ganda la limao. Ewe mwanamke mpakae mafuta mpenzi wako makalioni na miguuni ili kusaidia uchakavu wa ngozi usiendelee
Wanaume hawatoi pesa hadi waombwe. Ewe mwanamke usiache jambo hili likupite hata dakika moja. Muombe pesa mpenzi wako mara kwa mara kadri iwezekanavyo.
Fuata asali ule nyuki. Mimi sio mtu wa play play bwanaMkuu nimeona wamaitwa wanawake tu ila wanaume tumeparamia huku ikabidi nianze kuhoji
ha ha ha ha ha kwaa hiyo umefata harufu? ila hawa hawachelewi kuwasuta hukuFuata asali ule nyuki. Mimi sio mtu wa play play bwana
Au ulimi tofali aka brick tongue..domo zegeHahahahaa.... ukiona mwanaume anacheza mbali na wanawake ujue huyo si rizki...
Au ulimi tofali aka brick tongue..domo zegeHahahahaa.... ukiona mwanaume anacheza mbali na wanawake ujue huyo si rizki...