blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,269
- 1,148
Habari wakuu
Natumaini nyote mmeamka salama na majukumu yanaendelea kama kawaida
Wakuu niende kwenye mada, wakuu sina umri mkubwa sana ila wakati naondoka nyumbani na kwenda kutafuta maisha sehemu ingine niliitwa na Mama mzazi akaniasa mambo mengi sana kuhusiana na maisha pamoja na sehemu niliyokua naenda.
Ila jambo ambalo lililonshangaza alinipa pair ya KITENGE na KANGA nikamuuliza vya nini ila aligoma kuniambia akasema "Mimi mama yako nakupa hupaswi hata kuuliza"
Hapa niliumiza mbongo ila mpaka sasa wakuu sijajua alifanya vile kwa sababu gani na tena kwa kijana wa kiume.
Nawasilisha wakuu
Natumaini wakubwa mna uelewa na jambo hili tafadhali