Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Kweli wanawake ni watu wa kipekee sana nimekuwa nawaangalia kupitia wale niliokuwa nao kwenye mahusiano kuna wenye akili ila wengine ni "mbumbumbu" nakumbuka kuna dada mmoja nilikutana nae chuoni akiwa hana nyuma wala mbele (Mshamba) ila kwakupitia yeye mengi nimejifunza katika mahusiano.
Kipindi namjua hakuwa na marafiki wa kumshauri maana baada ya kujua kuvaa vimini ndo shida ikaanzia hapo yaani club zote zilimjua kwa ukuwadi wake na ujinga wake alibadilika tabia na akaona mimi si chochote mbele yake.
Na mimi baada ya kuwa mbali nae kwa muda nilipata mwingine nikawa nae kwenye mahusiano na baadae tukapata mtoto ila nilifanya makusudi ili aone kuwa mwanaume hakataliwi hata kama hana gari na pesa bado tu ni mwanaume, baada ya kuzaa na yule dada niliporudi likizo nilimwambia kuwa sasa hivi mimi sio mwenzake yaani nina mtoto.
Basi alichachawa toka siku hiyo ujinga wake ukaanza kupungua mimi nikaendelea kumla ila akiwa anajua kuwa ana liwa na baba sio yule mpenzi wake wa zamani.
Baadae niliona ni ujinga kuendelea kuwa nae nikaamua kukatisha mawasiliano na yeye kwani sikumtaka tena baada ya kuona mtoto wangu anampa pumu anashindwa kupumua na yeye eti akaanza kunikomoa na vipicha vya mabwana wake wakati kasahau nishamgaragaza sana eti nione wivu kumbe mwenzake sioni hata gere.
Na mimi nikawa natuma picha za marafiki zangu kuwa ni wapenzi wangu basi acha wivu umpande kama kapewa dozi ya kisonono ila toka hapo nimejua kuwa wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui.
Tuwe na mapenzi ya dhati bila kujali umasiki au hali ya mtu ubaya sasa nilishaga mpeleka hadi nyumbani..
Raphael wa Ureno..........