Wanawake nimewanyoshea mikono

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,373
54,755
Kweli wanawake ni watu wa kipekee sana nimekuwa nawaangalia kupitia wale niliokuwa nao kwenye mahusiano kuna wenye akili ila wengine ni "mbumbumbu" nakumbuka kuna dada mmoja nilikutana nae chuoni akiwa hana nyuma wala mbele (Mshamba) ila kwakupitia yeye mengi nimejifunza katika mahusiano.

Kipindi namjua hakuwa na marafiki wa kumshauri maana baada ya kujua kuvaa vimini ndo shida ikaanzia hapo yaani club zote zilimjua kwa ukuwadi wake na ujinga wake alibadilika tabia na akaona mimi si chochote mbele yake.

Na mimi baada ya kuwa mbali nae kwa muda nilipata mwingine nikawa nae kwenye mahusiano na baadae tukapata mtoto ila nilifanya makusudi ili aone kuwa mwanaume hakataliwi hata kama hana gari na pesa bado tu ni mwanaume, baada ya kuzaa na yule dada niliporudi likizo nilimwambia kuwa sasa hivi mimi sio mwenzake yaani nina mtoto.

Basi alichachawa toka siku hiyo ujinga wake ukaanza kupungua mimi nikaendelea kumla ila akiwa anajua kuwa ana liwa na baba sio yule mpenzi wake wa zamani.

Baadae niliona ni ujinga kuendelea kuwa nae nikaamua kukatisha mawasiliano na yeye kwani sikumtaka tena baada ya kuona mtoto wangu anampa pumu anashindwa kupumua na yeye eti akaanza kunikomoa na vipicha vya mabwana wake wakati kasahau nishamgaragaza sana eti nione wivu kumbe mwenzake sioni hata gere.

Na mimi nikawa natuma picha za marafiki zangu kuwa ni wapenzi wangu basi acha wivu umpande kama kapewa dozi ya kisonono ila toka hapo nimejua kuwa wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui.

Tuwe na mapenzi ya dhati bila kujali umasiki au hali ya mtu ubaya sasa nilishaga mpeleka hadi nyumbani..

Raphael wa Ureno..........
 
Aseee we nishidaaa! Mdada kajiona bonge la mjanja kumbe umemkojoza mpaka akapewa dozi ya kisonono!??? Ndo ivo hao sio wenzetu ukikosa pesa mzee.
 
Nini kisonono , wazee wa zamani wali amini mwanamke ukiwa nae mmoja anataka kukupanda Kichwani na wengine wakaamini bila makofi hawaendi sasa nn suluhisho ndo mzee moja anakua na wake wawili mmoja akileta gubu bas unalala kwa mwenzke coz women love competition bas utatawala wote effortless kila m1 atataka kua the best dhidi ya mwenzko, umejitahid kijana kutumia mbinu zetu bad boys karinga umemtafutia mwenzake nadhan umeona matokeo mazuri ht ukiwa na mwanamke mwingne mpende kweli but don't be mjinga mpende kweli akizingua mtafutie mwenzke wa kumsaidia majukumu
 
mimi napendaga mtu ata awe na hali gani namkubali ila tatizo wakishajua UMEKUFA UMEOZA utakoma,,,, utasota maisha ya kumbembeleza mpaka basi
 
Kweli wanawake ni watu wa kipekee sana nimekuwa nawaangalia kupitia wale niliokuwa nao kwenye mahusiano kuna wenye akili ila wengine ni "mbumbumbu" nakumbuka kuna dada mmoja nilikutana nae chuoni akiwa hana nyuma wala mbele (Mshamba) ila kwakupitia yeye mengi nimejifunza katika mahusiano.

Kipindi namjua hakuwa na marafiki wa kumshauri maana baada ya kujua kuvaa vimini ndo shida ikaanzia hapo yaani club zote zilimjua kwa ukuwadi wake na ujinga wake alibadilika tabia na akaona mimi si chochote mbele yake.

Na mimi baada ya kuwa mbali nae kwa muda nilipata mwingine nikawa nae kwenye mahusiano na baadae tukapata mtoto ila nilifanya makusudi ili aone kuwa mwanaume hakataliwi hata kama hana gari na pesa bado tu ni mwanaume, baada ya kuzaa na yule dada niliporudi likizo nilimwambia kuwa sasa hivi mimi sio mwenzake yaani nina mtoto.

Basi alichachawa toka siku hiyo ujinga wake ukaanza kupungua mimi nikaendelea kumla ila akiwa anajua kuwa ana liwa na baba sio yule mpenzi wake wa zamani.

Baadae niliona ni ujinga kuendelea kuwa nae nikaamua kukatisha mawasiliano na yeye kwani sikumtaka tena baada ya kuona mtoto wangu anampa pumu anashindwa kupumua na yeye eti akaanza kunikomoa na vipicha vya mabwana wake wakati kasahau nishamgaragaza sana eti nione wivu kumbe mwenzake sioni hata gere.

Na mimi nikawa natuma picha za marafiki zangu kuwa ni wapenzi wangu basi acha wivu umpande kama kapewa dozi ya kisonono ila toka hapo nimejua kuwa wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui.

Tuwe na mapenzi ya dhati bila kujali umasiki au hali ya mtu ubaya sasa nilishaga mpeleka hadi nyumbani..

Raphael wa Ureno..........
Wote mnafanana tabia na dhahiri unampenda, kama unafikia kuzalisha mtu mwingine ili tu umkomoe na kuweka picha za marafiki iwe kama mademu zako ili umlipizie yani hapo moja kwa moja unamtaka bado. Nina hakika kila siku unaangalia ameweka picha gani whatsapp, kama ni ya jamaa basi na wewe unalipiza kuweka ya demu.
 
Sio shidaa ila baada ya kufanya ujinga na mm nikaamua kumwonesha ubaya ila mengi kanifunza nimeelewa walivyo.
 
" wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui."

kwani umetoka kijiji gani mkuu?
 
Sio kimoja yaani ni visa vingi ila kupitia hvyo visa nimejua mengi kupitia wanawake.
 
mmejua kukomoana kwa ujanja wa kizamani...
hongera pia kwa kushinda
Ndio inabidi utumie ujanja ili kuponya moyo wako kwani ungelikuwa wewe ni mm kwa kipindi kile ungetamani uondoke duniani.
 
Mwanaume asikataliwe kwani yeye ni nan??tena kwa mwanaume mwenye akili km zako atakataliwa tu.unapenda ushindaniii
 
Nini kisonono , wazee wa zamani wali amini mwanamke ukiwa nae mmoja anataka kukupanda Kichwani na wengine wakaamini bila makofi hawaendi sasa nn suluhisho ndo mzee moja anakua na wake wawili mmoja akileta gubu bas unalala kwa mwenzke coz women love competition bas utatawala wote effortless kila m1 atataka kua the best dhidi ya mwenzko, umejitahid kijana kutumia mbinu zetu bad boys karinga umemtafutia mwenzake nadhan umeona matokeo mazuri ht ukiwa na mwanamke mwingne mpende kweli but don't be mjinga mpende kweli akizingua mtafutie mwenzke wa kumsaidia majukumu
Yaani hiyo ndo dawa yao ila yeye alikuwa ananikomoa kweli mimi nikatumia plan B kuweza kumteketeza na kweli hiyo plan B ilizaa matunda mazuri hadi leo anaamini mimi ni bonge la play boy kama yeye alivyoonesha ukahaba wake kwangu.
 
Back
Top Bottom