Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
- Thread starter
- #21
Naam nimekusikia nawe pia #Badili tabiaHaya...
Umesikika
Naam nimekusikia nawe pia #Badili tabiaHaya...
Umesikika
Huyu wangu baada ya kujua mji ndo tatizo lilianza yaani alikuwa akiona kaka handsame anajua ni wake sasa ni mwendo wa chain kuunganishwa duh!mimi napendaga mtu ata awe na hali gani namkubali ila tatizo wakishajua UMEKUFA UMEOZA utakoma,,,, utasota maisha ya kumbembeleza mpaka basi
Hapana nilifanya vile ili kuweza kumuumiza kama yeye alivyoniumiza (maana ana wivu kweli kuna siku nipo stand nampokea mama akadhani ni msichana mwngne napokea akavimba sasa mm nilimpiga kutokana na makosa yakeWote mnafanana tabia na dhahiri unampenda, kama unafikia kuzalisha mtu mwingine ili tu umkomoe na kuweka picha za marafiki iwe kama mademu zako ili umlipizie yani hapo moja kwa moja unamtaka bado. Nina hakika kila siku unaangalia ameweka picha gani whatsapp, kama ni ya jamaa basi na wewe unalipiza kuweka ya demu.
Tofauti kivipi kaka kiumri au kimaamuzi?Inaonekana wewe ni tofauti na wengine!
Huko bush ndani ndani serengeti" wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui."
kwani umetoka kijiji gani mkuu?
Kwani una umri gani?
huko karibu na mbuga ndezi wengi sana, ukienda kusalimu nibebee kimnofu kudogo.Huko bush ndani ndani serengeti
Wala sina tatizo nae sasa hiv nimemwacha afanye yakeHahahhahahha dah wanaume wengine jmn
Kwa nnavosoma Upepo huyo mwanamke anakuendesha sana mana naona unastrategize kila uchao umuumize vipi roho, u care,kama hujali mbona anakuhangaisha haha
mimi napendaga mtu ata awe na hali gani namkubali ila tatizo wakishajua UMEKUFA UMEOZA utakoma,,,, utasota maisha ya kumbembeleza mpaka basi
Wala sina tatizo nae sasa hiv nimemwacha afanye yake
Funzo kwa wengine wanaosumbuka na watu au wanaosumbuliwaSs mbna umekuja kumpost huku Jf,bado unampenda ww jitathmini
nawe piausiku mwema