Wanawake ni wengi mno!

Wanawake ni wengi mno!

Tatizo muda wenu wa kupata fursa ni miaka michache na haiwezi kuzidi 35. Baada ya hapo fursa zinakuwa adimu. Kwa mwanaume hizi fursa zipo mpaka mwisho wa uhai wako kama utajaliwa afya.
Weee sio kwa kizazi hiki labda kwa kijijini ni sawa ila mjini huoni kina wema kila leo wanakamata fursa.Zari humuoni?Ni jinsi utakavyojiweka na kujibrand ukikaa kizee hata mbuzi hakunusi ila ukiwa smart fursa unazikamata haswaaa
 
Wema bado hajafikisha 35 lakini unaweza kuona wanaume wameanza kumkimbia. Hakuwa na historia ya kuachwa siku za nyuma ila yeye alikuwa anaacha. Idrisa kamuacha Wema. Huo ndo mwanzo, baada ya muda atahangaika kupata aliowakataa.

Pili, inategemea lengo lako ni kuolewa au kuwa single mother. Kama ni suala la kuolewa wanawake wanaopata fursa za kubadili wanaume kila week chance ya kuolewa ni ndogo. Hapa ni kwamba wanaume wanakuwa wanasikia umaarufu wako na mara nyingi wanakupenda ili kuonja ukoje lakini kuoa hamna.Kama una lengo la kufanya biashara kupitia hizo fursa hapo utakuwa sahihi.
 
Ukweli mchungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom