BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
- Thread starter
- #41
Hao wengi wako wap? Mbona wengine hatuwapati??
Acheni uchoyo muingie Mbinguni, kama unawawili nipeni mmojaa





Hao wengi wako wap? Mbona wengine hatuwapati??
Acheni uchoyo muingie Mbinguni, kama unawawili nipeni mmojaa





DuuhAlitakiwa amshike na HC,huyu Hc naskia ni msagaji na alitoa sana mimba.
Kweli,hata chura mtu anajipimia tuu kwenye picha anaweka analotaka.


Dah tena wengine wanajua kubembeleza balaa wanajali wazur classicKabisa aisee yaani wamejaa na si wachoyo hakuna haja ya kuangaika na msumbufu mmoja
Yeshuyo Dada mzuri sana do!..
let keep on finding much monies....
Yea ofcoz
Ndo maana Trump huwa anawashika shika
Kwa sisi tunaopenda kushika shika
Trump ndo kiongozi wetu

Nimependa haya maandishi ni lyrics za Julio iglesias kwenye nyimbo yake ya "too many women" its the best song Julio has ever composed, best melody with an amazing vocal technique.I had dreams, you see and I had plans
But I traded them for some romance
Look what I'm facing just 'cause of chasing too many women.
When I see the mess that I'm drowning in....I know why I'm here, after where I've been if the truth be told I would have to say it was worth the price, that I had to pay.
Though they break my heart, and make me cry i can hardly wait 'till the next comes by i don't know why! For another try i don't know why
Wanawake wapo na ni wengi mno wa kila aina, weusi, weupe, maji ya kunde, warefu, wafupi, wanene, wembamba, wenye "mizigo"/"chura" au flat, but they are too many women my fellow men hata akiondoka mmoja katika maisha yako watakuja wengine
View attachment 431764
Hahahaha true kabisa mkuu !! Waspanish si unawajua tenaNimependa haya maandishi ni lyrics za Julio iglesias kwenye nyimbo yake ya "too many women" its the best song Julio has ever composed, best melody with an amazing vocal technique.
Jamaa inasemekana ameshatembea na wanawake 3000 katika maisha yake.
Pia ni baba yake Enrique iglesias, hawana uhusiano na mwanae kwa miaka mingi na dogo wakati anaoa hakumualika baba yake. Lakini wakiulizwa kama wana hitilafu hakuna anaekubali kuwa mahusiano yao sio mazuri.
Julio aliwahi kuwa Golikipa wa timu ya Real Madrid.
Inasemekana ndio the best male Spanish singer of all time.
Wale back vocal singer wake walikuwa wazuri na warembo mithili ya malaika na wote alikuwa analala nao kwa wakati mmoja.
Aliwahi kulala na mashabiki waliong'ang'ania mlangoni kwenye hoteli aliyofikia baada ya kugoma kuondoka wakitaka penzi la Julio. Basi jamaa akawaruhusu security wawaachie alale nao. Hatari!
Huyo ndo Julio anasema "too many women"
Of course, inatokea but that can't be considered as a lost love rather it will be a new love. Ni kama mama kuachika then baba akavuta mwingine, hata awajali vipi hawezi kuwa mama atabaki kuitwa step mother.U mean lost love cant be replaced?? What if ukapata utakaempenda zaid ya aliekuacha mwanzo
Wifi languHata sie tukiachana na mtu fulani baada ya week tunakamata fursa kwa mwingine
HeheeheWifi langu
Niambie mamie.Uko poa?Wifi langu
Yeah ananihudumia poa mwaya wifi langu... Tatizo michepuko yake sasaNiambie mamie.Uko poa?
Kaka yangu anakuhudumia vizuri?
Mie niko poa kabisa.Ataacha tu mpe mdaYeah ananihudumia poa mwaya wifi langu... Tatizo michepuko yake sasa![]()
![]()
Mie jambo sana. Vipi weye
Ah mi nitambonda tu bana. Naenda kusomea ubondia kabisaMie niko poa kabisa.Ataacha tu mpe mda
Ni mapenz upofu au sababu wahudumiwa vizuri hata ujue ana michepuko but seems you dont mind flani hiviYeah ananihudumia poa mwaya wifi langu... Tatizo michepuko yake sasa![]()
![]()
Mie jambo sana. Vipi weye
Ada ikipungua niambie nikuongeze usome na ueleweAh mi nitambonda tu bana. Naenda kusomea ubondia kabisa