Wanawake ni wengi mno!

Wanawake ni wengi mno!

Hao wengi wako wap? Mbona wengine hatuwapati??

Acheni uchoyo muingie Mbinguni, kama unawawili nipeni mmojaa
Mkuu usibabaishwe na picha, camera zinadanganya sana. Hao unaowaona wazuri kwenye picha ndo hao hao unaowaona wabaya kwenye maisha halisi mitaani. Kuna app nyingi tu za kutengeneza picha zionekane nzuri kumbe usanii tu.
 
Ni kweli wapo wengi kama mleta bandiko alivyosema,
kuna wanawake zaidi ya kumu hua nawatania tu,nataka kuchukua jumla,basi wanajua kweli,hua baadae wananifuatilia na kujua ni kweli,kama nimgekua nataka kula papuch zao ningekula sana.
 
Mkuu usibabaishwe na picha, camera zinadanganya sana. Hao unaowaona wazuri kwenye picha ndo hao hao unaowaona wabaya kwenye maisha halisi mitaani. Kuna app nyingi tu za kutengeneza picha zionekane nzuri kumbe usanii tu.
Kweli,hata chura mtu anajipimia tuu kwenye picha anaweka analotaka.
 
Everyone is unique under the sun and hence there is no replacement in the lost love.
Si kila kitamu kinatengeza sukari, ndo maana asali licha ya utamu wake mwingi inaishia kutengeneza nta tu.
U mean lost love cant be replaced?? What if ukapata utakaempenda zaid ya aliekuacha mwanzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom