Shekuna
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 688
- 549
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.
Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.Akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.Nikaongea naye na akanipa siri nyingi sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.Jamaa tulimalizana fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.
Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.Nikipga hapokei nikavunga.Baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nikapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.Kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.
Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.Akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.Nimemwambia anipotezee hanielewi.
Wakuu naombeni ushauri, je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?