Jaribu kufunga dubwana tumboni ambalo ni sawa na ujauzito wa kati ya miezi sita na hadi tisa na utembee nalo hata kwa masaa machache tu na kulala nalo hata usiku kucha ili uone wanawake hata wale ambao mimba zao zinakuwa hazina matatizo wanavyopata shida kutokana na ujauzito.
...sawa kaka'ngu, nimekusoma... naona tumepishana lugha tu hapa. Mzee wangu aliniusia pakitokea hali hii ni bora kunywa mafunda mawili matatu ya maji kusaidia kushusha pumzi na munkari.
...Hakuna ubaya kumdekeza mkeo, awe mjamzito, mgonjwa au mzima bukheri wa afya,...
...pakajimmy nilivyomuelewa mimi anatanzika na madeko kupita kiasi ya mjamzito, kama kayaona kwa mkewe, allahu alam.. lakini binfsi naamini (kama) mwana umleavyo na akuavyo, hivyo hivyo kwa mkeo. Kama utamdekeza sana, hata kumsukuma huyo mtoto itakuwa shughuli...
Ni maoni yangu tu bro, calm down.
Mimi na wewe tena Mkuu!!!...sisi ni damu damu Mkuu wala sijavua shati na kunza kujipia kifua ha ha ha ha ....unajua nimeandika haya kutokana na experience niliyoishuhudia kutoka kwa mama yangu, ndugu zangu, inayonihusu mimi mwenyewe, mashemeji wa karibu kabisa na hata wa mbali
Mbu, mmejaaliwa kuumba kiumbe ambacho wote mnakisubiri kwa hamu sana na kila siku mnaomba kiingie duniani kikiwa healthy na afya ya mama wakati wote iwe njema na hata wakati wa kujifungua kusiwe na complications kubwa. Sasa ukimua kumdekeza shemeji katika miezi hiyo michache kwa kuhakikisha anakula anachotamani, na mengineyo ili kuhakikisha uja uzito wake unakuwa hauna matatizo makubwa kuna ubaya gani Mkuu wangu?
By the way umeshatafuta timu ya "kuishangilia" kwenye EPL ambayo inaanza in 2 weeks? Maana timu yetu mwaka huu hmmmm! mimi wala sitii neno 🙁. Naona "nitaishangilia" ManCity ambayo inaonekana Mwarabu kaamua kuacha pochi lake wazi ili kununua ubingwa. Labda vijana wetu wanaweza kufanya maajabu, lakini sidhani kama kutakuwa na maajabu yoyote bali ni vipigo tu kila tukitoa pua.
Have a great weekend
...Ni kweli mara chache huwa wanaumwaumwa, lakini asilimia kubwa huwa ni matatizo ya kupangwa na yanaandaliwa na kupikwa kitaalam!...
Ona huyu Bubu alivyopagawa.
Soon or later utasema hata matiti ya wanawake ni mzigo kwao!!! KWII KWIII KWIII!!!!
Ngoja nikusomeshe:
Mimba inakuwa implanted ndani ya mwili, and so inakuwa kama sehemu ya mwili...! Mwisho tutasema hata koro**d*ni zetu ni nzito!
Thats Over too-much Mercy Bubu!...Na ijulikane nakuheshimu sana, lakini
ukubali tu kutokukubaliana!
Ur too wrong on that!
bubu kama sio Man U basi Arsenal. Bisha....lol😀😀
Mimi na wewe tena Mkuu!!!...sisi ni damu damu Mkuu wala sijavua shati na kunza kujipia kifua ha ha ha ha ....unajua nimeandika haya kutokana na experience niliyoishuhudia kutoka kwa mama yangu, ndugu zangu, inayonihusu mimi mwenyewe, mashemeji wa karibu kabisa na hata wa mbali
Mbu, mmejaaliwa kuumba kiumbe ambacho wote mnakisubiri kwa hamu sana na kila siku mnaomba kiingie duniani kikiwa healthy na afya ya mama wakati wote iwe njema na hata wakati wa kujifungua kusiwe na complications kubwa. Sasa ukimua kumdekeza shemeji katika miezi hiyo michache kwa kuhakikisha anakula anachotamani, na mengineyo ili kuhakikisha uja uzito wake unakuwa hauna matatizo makubwa kuna ubaya gani Mkuu wangu?
...By the way umeshatafuta timu ya "kuishangilia" kwenye EPL ambayo inaanza in 2 weeks? Maana timu yetu mwaka huu hmmmm! mimi wala sitii neno 🙁. Naona "nitaishangilia" ManCity ambayo inaonekana Mwarabu kaamua kuacha pochi lake wazi ili kununua ubingwa. Labda vijana wetu wanaweza kufanya maajabu, lakini sidhani kama kutakuwa na maajabu yoyote bali ni vipigo tu kila tukitoa pua.
Have a great weekend
Hata mie naona kamuona mkewe ana madeko ya kisanii, ndio anataka kusema hapa kila mwanamke ana madeko kipindi cha mimba. Nakumbuka kuna post yake hapa alisema mkewe mchafu, haoshi nywele zake, basi akaona wote wachafu. Kwanza sijui ulimuomba mkeo samahani kwa kumuanika mtandaoni kwamba mchafu....sawa kaka'ngu, nimekusoma... naona tumepishana lugha tu hapa. Mzee wangu aliniusia pakitokea hali hii ni bora kunywa mafunda mawili matatu ya maji kusaidia kushusha pumzi na munkari.
...Hakuna ubaya kumdekeza mkeo, awe mjamzito, mgonjwa au mzima bukheri wa afya,...
...pakajimmy nilivyomuelewa mimi anatanzika na madeko kupita kiasi ya mjamzito, kama kayaona kwa mkewe, allahu alam.. lakini binfsi naamini (kama) mwana umleavyo na akuavyo, hivyo hivyo kwa mkeo. Kama utamdekeza sana, hata kumsukuma huyo mtoto itakuwa shughuli...
Ni maoni yangu tu bro, calm down.
makubwa haya. mlishaona watu wasokula pilipili wakizungumzia ukali wake?
Sikatai kuna wale wanaodeka ila sidhani kama ni vibaya kumdekea mumeo ila pia sidhani mtu anaweza kukudekea akakumbuka kukudai vitu vya ajabu mfano mahindi ya kuchoma usiku- huyo atakuwa anataka kukukomoa na si kudeka huku. Most of the time mama mjamzito anakuwa anajisikia ndivyo sivyo na the only relief aipatayo ni kueelezea vile ajisikiavyo
Hamuwezi kujua ukali wa pilipili msoila wajameni.
Ha ha ha ha mimi Arsenal bwana lakini Wenger kaamua kuisambaratisha timu yetu msimu huu. Inasikitisha sana lakini ndiyo ukweli wa mambo sasa hivi ni midabwada mitupu.
Wanaume.... jamani msikufuru! Nyie sikieni tu mambo ya mimba.... kama unaona kero mkeo kukudekea akiwa na mimba basi msiziweke!
...😀 we acha tu, ilikuwa heka heka mara nikande mgongo njemba naamka usiku wa manane naanza kuchua..., mara sitaki kupanda Sea express nataka ndege, haoo uwanja wa ndege... Sasa aaaah, nafurahia matunda. Njemba mbili za maana! Mw'Mungu ashukuriwe sana.
...mimi na Arsenal mpaka kieleweke, hata wakiondoka wachezaji wote! Naona Arsene Wenger kaamua 'kuwauza' wachezaji kabla ya African Cup of Nations...
Nice weekend Bro!
Niliwahi kuambiwa kuwa mwanamke akiwa na ujauzito anakuwa na mambo yafauatayo
1. Kumpenda mumewe, yaani kila saa anataka akae nae
2. Kumchukia sana mumewe, yaani saa nyingine anatamani hata kummeza, hataki kabisa kumuona, ila akitoka tu mbele ya macho yake anasikia kummis
3. Kumpenda mtu mwingine yeyote sasa kasheshe pale anapompenda mwanumme mwingine wakati anamchukia mumewe halafu ukute mume hana hili somo, patachimbika
4. Kama alikuwa na mtoto mwingine anaweza kumchukia pasipo sababu au kumpenda pasipo sababu (hii mimi nimeishuudia live, jirani na home when i was 17 yrs old)
5. Mengine ni yale ya kula aina fulani ya vyakula na vingine kuvichukia
Nawasilisha
you are too insensitive and slapdash, Mkuu bubu ataka kusema yuko right. coz nilitegemea ungeanza kumfikiria mama yako mzazi alivykubeba wewe mtoto usie na fadhila kabda ya kumdhalilisha mbele ya jamii.Ona huyu Bubu alivyopagawa.
Soon or later utasema hata matiti ya wanawake ni mzigo kwao!!! KWII KWIII KWIII!!!!
Ngoja nikusomeshe:
Mimba inakuwa implanted ndani ya mwili, and so inakuwa kama sehemu ya mwili...! Mwisho tutasema hata koro**d*ni zetu ni nzito!
Thats Over too-much Mercy Bubu!...Na ijulikane nakuheshimu sana, lakini
ukubali tu kutokukubaliana!
Ur too wrong on that!
Awali nilikuwa naambiwa, lakini baadaye nikaja kuhakikisha kwamba Wanawake pindi wawapo wajawazito huwa wasumbufu saana, na wanadeka ajabu!
Mwanamke mmoja akaja kunambia kwamba huwa wanafanya hayo mambo makusudi, maana ni nafasi yao ya pekee ya kutesa, kuomba kila watakacho, na kuwaonyesha mabwana zao kwamba ile shughuli ya kubeba mimba ni ya pekee, maana wanajua kwamba wanaume hawana uzoefu, na wala hawatakaa waijue!
Ni kweli mara chache huwa wanaumwaumwa, lakini asilimia kubwa huwa ni matatizo ya kupangwa na yanaandaliwa na kupikwa kitaalam!
Je wanaJF, tudhibiti vipi hii hali ya kuonewa na hawa raia wa kike?
WoS,Nyamayao,Penina na wengineo, kwanini mnakuwa wasanii kiasi hicho?