nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Duh watanzania tumefikia hatua ya kupigia hesabu ya chakula? Jamani ni kinyesi tu hicho mwisho wa siku.
hata kama ni kinyesi kinatokana na hela.Duh watanzania tumefikia hatua ya kupigia hesabu ya chakula? Jamani ni kinyesi tu hicho mwisho wa siku.
hata kama ni kinyesi kinatokana na hela.
Mmh... Lazima ale ashibe..!! Anajiweka sawa, maana baada ya hapo anajua ni game ya kufa mtu.!
Wewe unapo mpeleka sehemu inajiko unategemea mini?
Wewe unapo mpeleka sehemu inajiko unategemea mini?
Wanawake wengi wa kibongo wanaishi maisha fake.
akishiba anakua busy anaomba awahi kuondoka kwani anahudhuru kidogo
ushatuambia ni demu wako wanawake wengine tunahusikaje hapo?