Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Hahahahahahaaa

Eti inakimbilia wapi dada yangu..
 
Wengi sana wana stress msiwaone hivyo, chunguza utajua kwa nini wanakunywa sana hivyo, kuwasaidia ni kutaka kujua kwa nini wanafanya hivyo na kujaribu kuwashauri waache ila ukimwambia atakuuliza utanisaidia matatizo yangu sasa hapo ndio pagumu, mwingine atasema nina mambo mengi, nataka mume siwezi kumpata, sina hela ya mtaji, sina wa kunitunza yani ku take care, naona wenzangu wana bembelezwa na waume zao na ndoa zinapendeza sasa mimi sijui ni lini yani inanichanganya kweli, kila mwanaume akija ananikimbia...
 
Kila binadamu na starehe zake...

Ila pombe kupita kiasi kwa binadamu yoyote yule ina madhara makubwa sana...

Kheri mahondaw wangu hatumii pombe, nami pia situmii pombe hata kidogo...


cc: mahondaw
 
Alikufanyaje, au alikutenda au ulimtenda?.can you explain?. Utashangaa ndo mimi
Hapana
Sio kwa ubaya Mkuu, alikuwa zaidi ya ndugu kwangu miaka hiyooo!!! Ni mtu mmoja muhimu sana kwenye maisha yangu,alinisaidia kwa kweli. Mungu azidi mtunza huko aliko
 
na mara nyingi mademu wanaovuta cha arusha wanakuwa wale warembo hasa. kuna muhudumu mmoja wa ndege za P nilimfuma sehemu abapiga cha arusha huwezi amini
 
Mimi tena...nilivyo nyoka juu ya mwembe. Maembe yanaiva kuyala siwezi ila naogopesha watu kupanda. Kwa ninavyokujua, hata tunywe tukiwa in our 'birthday suits' wala huwezi shtuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…