Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Hahahahhaa haina noma kumaliza kilo mbili za mchele peke akooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Acha ungese wewe, unajua maana ya neno sunna au unataka kuanzisha ligi tuonekane wadini???
Hivi wewe pia unajua maana ya neno ungese au unataka kuanzisha ligi tukuone ni mwenzake na delicious au marehemu kaoge
 
Sasa, unawazungumziaje na mabinti wanaovuta sigara kwa karne hadi hii
 
Khakhakhaaaaaaa can't imagine ndo nishalewa sasa mweh!! Huwa tunakua vituko wee acha tu..


Nina dada yangu yeye akilewa tu anaanza kukatika mbele za watu.
Mkute hajalewa sasa huwezi amini



Cc Smart911
 
Khakhakhaaaaaaa can't imagine ndo nishalewa sasa mweh!! Huwa tunakua vituko wee acha tu..


Nina dada yangu yeye akilewa tu anaanza kukatika mbele za watu.
Mkute hajalewa sasa huwezi amini



Cc Smart911

Hivyo na weye rafiki unakuwa umechangamka kidogo , jitahidi uwe na Shemela karibu wasije wakakuteka bure. [emoji12]

Huyo dada yetu ni hatari ila ndio inavyokuwa vingi vinafanyika kwa akili ya ile pombe.

Ila sijajuaga mpaka leo ni kwanini iko hivyo.
 
Inapendeza zaidi wapendanao wakinywea nyumbani kwao.
 
pombe sio nzuri, mimi mwenyewe ikinikolea huwa naongea vitu vsvyo vya kawaida aiseeh
 
Nashukuru mungu mimi si mnywaji rafiki sijawahi sidhani na naomba Mungu anisaidie.

Dada etu huyo wee acha tu akiwa hukooo anayarudi si mchezo sasa afike nyumbani ni matusi kwa kwenda mbele....
Ashawahi hadi kutaka kumpiga mama ila akili sijui ilitoka wapi. Nakumbuka Shangazi yeye alikula kofi . Kweli mama ni mama



Cc Smart911



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…