Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Eti mwanamke mwenye miaka 23 huyo mwanamke au mtoto?

Mwanamke anaanza kujua thamani ya ndoa above 28 huko.

Below hapo piga mbupu tembea.
Syo wote nakuambia n kwamba huenda mmekutana na 23 wasiyojitambua......naongea hiv maana nina ushahid mwanaume akijitambua haez shndwa na mwanamke hata awe na miaka 15 akpata mwanaume anayejitambua aki atasimama kama mama wa miaka 45
 
Kweli
 
Mzee wangu alishawahi kuniambia usimuendekeze mwanamke maisha ya starehe hata kama pesa unayo, akaniambia pia hakikisha asijue kipato chako yaani statement yako ya bank hadi salaryslip iwe siri yako hata akiba yako jitahidi kuwa msiri maana huwa hawariziki kwa kweli mzee sikumuamini

Nna mwanamke wangu ambaye niko nae kwenye mahusiano mwaka wa tatu huu ana miaka 23, hana elimu yoyote ya maana , alizungushaza olevel akawa mtaani tu maana analelewa na ndugu wazazi alishapoteza

Nimeanza nae mahusiano akiwa kwenye hali tete maaana alikuwa akiishi maisha magumu sana hata hao ndugu kumjali walikuwa hawamjali, wanaume aliokuwa nao ndio wale masharobaro kula kwa mama

Hivyo kuanzia mwaka huu umeanza nikaona maisha ya mwanamke kukaa nyumbani tu si mazuri nikaona nimpush na yeye aingize kipato na mimi majukumu ya kutoa pesa ya matumizi kila siku yapungue nipate ahueni na yeye apate pesa afanye mambo yake ya muhimu

Hivyo nikawa nashirikiana nae kwenye biashara zangu kila siku, nikawa namlipa 15,000 siku nyingine 20,000 hadi 17,000 na siku hali ikiwa tete mara chache sana nampa 12,000, hapo nauli,kula,vocha juu yangu mimi na akirudi nyumbani kwao halipi kodi, maji wala chakula hanunui anakikuta mezani ye hela nayomlipa ni kuweka tu

Lakini wakuu kipindi cha hivi karibuni akawa amenza malalamiko na vijembe vya chini chini yaani anasema simjali, mean simpi pesa, mean mimi ni bahili, vijembe anaweka hadi wahtsapp mwanaume bahili hafai ila huwa nakausha tu napita kimya kimya

Ila sikutegemea zarau kama hizi maana nilitegemea mwenzangu tunachotafuta na kugawana angerizika lakini now anataka nimpe na pesa nyingine tena ya matumizi hapo ndio nimechoka

Ila nachowashauri tu hivi viumbe tuishi navyo kwa Tahadhari sana maana haviriziki wala kujua ugumu wa kutafuta pesa , na unachowapa hawaridhiki wanaona wanahitaji kikubwa zaidi ya walichonacho
Bodaboda washamsugua huyo! Soon utatukanwa mchana peupe
 
Kuna wanawake wanaojielewa na wako na heshima kwa waume zao na wengine awajielewi wapo wapo tuu hata umufanyie nn Hana shukran hapo tunawatumia kwa starehe basi hivyo usiumize kichwa kwa mwanamke wa dizain hiyo .Over
 
Mwanamke anajulikana pia kama mama.
Sasa hilo neno mama lilivyo naa mapana na marefu yake!
Maisha ya kiumbe chochote yanatokana na mama, kama nitakua nimekosea nisamehewe, baada ya Mungu ni mama.
Ni kwa muktadha huo nimejikuta nawaheshimu sana wanawake kwa kiasi ambacho hakuna kipimo.
Unaweza ukazungumza namna yoyote juu ya mwanamke lakini jua ya kwamba mwanamkeni more than all .

Ndugu mleta mada jaribu kutafuta mapungufu yako juu ya hili ulilo liwasilisha hapa kabla ya kufanya hitimisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua kiblia na kisayansia anaezaa ni mwanaume na mwanamke kazi kujifungua tu yani kama kutema mtoto

hivi umewahi kujiuliza baba angetumia kondom au angepiga puchu na akakumwaga wewe kama mbegu ungekuwepo duniani ?? ?au basi mbegu yako wewe angeamua kwa mwanamke chizi au asiyejielewa hivi wewe maish yako yangekua wapi?
 
...
 
Hiyo 12,000 na ushee unayompa ni mshahara au ppsho???

Kilichokosekana hapo ni kitu kidogp tu kati yenu umekuja bebesha lawama wanawake wote wakati shida mnayo nyie wawili.....

Anachohitaji mkeo ni care ndogo ndogo tu... mpe 20,000 kasuke au 10,000 kanunue hata kijora nk nk

Msome mkeo sio kulialia na 12-20k!!! La sivyo utapambana sana na status za mafumbo!!
 
Nimpe 15, 20 kwa siku yupo kwao halipi kodi wala nn alafu nilete habari za care we ni chizi nini
 
Wanawake wengine hasara tu! Mtu unamshirikisha kwenye biashara yako unamlipa pesa bado anakuona mbahili?

Sasa alitaka akae tu nyumbani apewe hizo hela bure? Hawa ndiyo wanasababishaga wanawake wote tunadharaulika tu!
 
Yaani ukakaa ukashauriana na halmashauri ya kichwa chako then ukaona uje ufungue uzi wa kumlaumu huyo binti!! Hivi huoni wewe ndio tatizo?
 
Mzee wangu alishawahi kuniambia usimuendekeze mwanamke maisha ya starehe hata kama pesa unayo, akaniambia pia hakikisha asijue kipato chako yaani statement yako ya bank hadi salaryslip iwe siri yako hata akiba yako jitahidi kuwa msiri maana huwa hawariziki kwa kweli mzee sikumuamini

Nna mwanamke wangu ambaye niko nae kwenye mahusiano mwaka wa tatu huu ana miaka 23, hana elimu yoyote ya maana , alizungushaza olevel akawa mtaani tu maana analelewa na ndugu wazazi alishapoteza

Nimeanza nae mahusiano akiwa kwenye hali tete maaana alikuwa akiishi maisha magumu sana hata hao ndugu kumjali walikuwa hawamjali, wanaume aliokuwa nao ndio wale masharobaro kula kwa mama

Hivyo kuanzia mwaka huu umeanza nikaona maisha ya mwanamke kukaa nyumbani tu si mazuri nikaona nimpush na yeye aingize kipato na mimi majukumu ya kutoa pesa ya matumizi kila siku yapungue nipate ahueni na yeye apate pesa afanye mambo yake ya muhimu

Hivyo nikawa nashirikiana nae kwenye biashara zangu kila siku, nikawa namlipa 15,000 siku nyingine 20,000 hadi 17,000 na siku hali ikiwa tete mara chache sana nampa 12,000, hapo nauli,kula,vocha juu yangu mimi na akirudi nyumbani kwao halipi kodi, maji wala chakula hanunui anakikuta mezani ye hela nayomlipa ni kuweka tu

Lakini wakuu kipindi cha hivi karibuni akawa amenza malalamiko na vijembe vya chini chini yaani anasema simjali, mean simpi pesa, mean mimi ni bahili, vijembe anaweka hadi wahtsapp mwanaume bahili hafai ila huwa nakausha tu napita kimya kimya

Ila sikutegemea zarau kama hizi maana nilitegemea mwenzangu tunachotafuta na kugawana angerizika lakini now anataka nimpe na pesa nyingine tena ya matumizi hapo ndio nimechoka

Ila nachowashauri tu hivi viumbe tuishi navyo kwa Tahadhari sana maana haviriziki wala kujua ugumu wa kutafuta pesa , na unachowapa hawaridhiki wanaona wanahitaji kikubwa zaidi ya walichonacho
''kugawana'' hahaaha yaani mimi nipigike kwenye vibarua afu tugawane na mtu amabaye hata sio mke wangu shit hata mke wangu pia hatugawani anahudumiwa
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri mkeo.

Tatizo linaanzia hapo mkuu.

Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi au biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni "hela ya kuwa wapenzi".
Sijajua hiyo hela inaitwaje.
Tozo ya penzi ile 😂 ambayo mademu wote wa jf wanailalamikiaga ile!....

“Mwanaume lazma anihudumie!”...”Mwanaume asiye na hela hata genye hazipandi!”...”Mwanaume raha akupe pesa bwana”
Ukiweza kuelewa undani wa hizo kauli ndio pesa hio ambayo inalalamikiwa na huyo demu wako.

Kwa lugha nyepesi yani umpe kibunda chake cha fungu la 10 toka kwenye kipato chako binafsi 😂 kila mwezi! Ila kwa mimi binafsi mwanamke ambaye hana shukurani namna hio sahizi ingekuwa imebaki story tu japo ulikosea sana.

Mwanamke hatakiwi kujua unaingiza bei gani kwa siku! Maana ameshakadiria na kuzidisha kwa mwezi mzima hapo akapata figure ya maana kwenye 3M anaona yeye unampa 400k kwa mwezi hizo zingine unakula na nani? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom