Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 724
- 560
Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF?
Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajiri, mchaga.
Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya elim lakin mbele yang kdgo kiumri. Binti alitokea kunipenda sana kupndukia lakin kwa upande wang haikunishangaza sana kwasabab niko na uzefu wa kupendwa na sijawah wala siamin ktk kutongoza had nimeoa sasa.
Kwa kuwa napenda uwaz na kuishi kwa mipango, siku moja nilimweka waz juu ya mpango wang kwako, Ya kwamba sina mpango wa kumuoa kwa sabab mbalmbal, moja wapo ni kuwa. Hakuwa wife material kwang, hvyo ikibidi tuachane mapema au akifkia muda wa kuolewa aolewe kwa aman, pa1 na maleng yake mengine. Kwa ufup hakukubaliana na uamuz wala mpang wang, hvyo kutokana na msimamo wang aliniomba walau anizalie ili awe na kop yang.
Nilitafakar kwa kipnd ombi lake, hasa kuhusu "future" ya mtoto wang kwasabab huwa sifany jambo bila mpango na maleng. Baada ya kunishnikiza sana juu ya ombi lake nilimkubalia lakin kwa utaratb maalum ikiwa imebak miez kdhaa yy kumaliza masomo alinifuata mko nilipokuwa nasoma chuo, tulikutana kama kawaida na baada kuondoka muda mchache alipaniambia ni mjamzto nam nikaenda kuthibitisha hlo.
Maisha yaliendelea nikalea mimba kwa shida sana mana ckuwa na mkopo bali nilifanya biashara ndgo ndgo chuon ili kusapot malez ya mtoto. Wakat mwngne ilinilazim kuamka usiku mnene niondoke chuo kwnda nyumba aliyopanga (baada ya kumaliza chuo) kumsaidia mtoto akiugua na changamoto nyingnezo, nilisimamia mtoto akabatzwa kwa jina nililompa mm, nimpleka tohara (kutahiriwa) na mengne meng.
Kwa ufup sana nilimlea mtoto had akafkisha miaka miwil na miez michache kufka miaka mi 3. Nilipokuwa narud DSM baada ya kumaliza chuo; tulikuwa na mgogoro mm na yy (mama mtoto) kisa nilimwambia ntamwtaji mtoto atakapoanza shule nimsomeshe, alikata mawasiliano na mm kwa wiki moja na mm nilijua kuwa ni hasira hvyo yakiisha atanielewa, matokeo yake alikuja na Taarifa kuwa YULE SI MTOTO WNG, baba yake halisi amerud alipokuwa. Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana na kuishia kuwa na mawazo sana, hasa nikiwaza changamoto nilizoptia, niliwaza hata kumfanyia jambo baya sana lakn bado nafsi ilirud nyuma kwa kuwa pia nimelewa ktk mazngra ya kdin sana.
Mwshowe mama yang aligundua kuwa nilikuwa naptia hyo changamoto na kunisihii nisahau pia nisifanye maamuz mabaya yatayoharib maisha yang baadae, pia alinitia moyo kuwa mungu atanipa wang na mengne meng, hvyo niliamua kusahau na kuendelea na maisha.
Miaka minne mbele nilioa, na nilifanikiwa kupata mtoto, na maendeleo mengne, miaka imepta lakin kuna wakat moyo uniuma sana nikikumbuka nyuma, hasa nitafakar namna lavyonipenda, na kuniheshim sana, mbaya zaid hakujal mapito niliyoptia kumlea hyo mtoto, lakin pia kejel za hyo baba halis ambaye sikuwah kumfaham hata kwa sura (ss nimeshamwona pchan kwa ktk jithada za kumfaham) kwmba sikuwa nimechangia chochote, hata nikifungua kesi (kipnd kile)
Kwakuwa sikuwahi kuombwa radhi kwa yote bas sihawaji kuhisi msamehee hyo mwanamke pa1 na hyo bwana.
Maswal niliyobaki nayo (kujiuliza):
(1) Kwann hakuniacha tu kama ilijua kuna mtu mwngne pembeni
(2) Hata baada ya kujifungua, kwann hakuniambia mapema ili nisiendelee kupoteza muda wang mana wahenga husema ajuae baba halis wa mtoto ni mama.
(3) Je, kunipenda kote kule ilikuwa maigizo?
ATHARI NILIZOPATA KISAIKOLOJIA
(1) Najiuliza Hivi hata hyu niliye nae japo kuna mfanano ni wang?
(2) Mke wangu sijawahi mpa hii story ss nawaza hata nikmwabia nihitaji kumpma mtoto DNA atanielewaje!? Na je hao wanaopima DNA watanipa majb ya kwel au ndio kutakuwa na BIAS ili kutovunja ndoa!?
(3) Sina iman kabsa juu ya mwanamke yyte.
(4) Hali ile ilinifanya nifkiri kuwa mkatili kwa wanawake na pia nisiwe na mpangi wowote na kuoa....lakin kwa neema ya Mungu alikuwa ameshamwandaa mwanamke kwaajili yangu (mke wng sasa)
MWISHO (nimejarb sana kufupisha story)
Nimeamua kuleta stori hii ya niliyopitia ktk maisha yang ya mahisiano ili Wanaume au vijana wenzang mkae chonjo sana na wanawake mana ni HATARI SANA si wa kuamini kabsa, pia Nanyi Wanawake mwache Tabia ya kutubambika Watoto na kutupa majukum yasiyotuhusu, mwshowe si mzuri.
NAWASILISHA NDUGU ZANGU. Nakarbisha ushaur, maoni, mjadala na pia kama ww umeptia kama niliyoptia.
KARIBUNI.