Wanawake ni viumbe hatari sana hapa Duniani!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,662
Nimeisikia hii mahali nikaona sio vibaya nikawamegea siri wanaume wenzangu hasa ambao mko/mnaishi kwenye ndoa halisi au ambao mnaishi kwenye misingi ya dhana ya ndoa kwa maana ya 'presumption of marriage' (wale wanasheria mtakua mnanielewa).

Kuna jamaa alikua kwenye ndoa kumbe mke wake akawa anajenga nyumba kisirisiri; yaani alinunua kiwanja kwa siri na kuanza kujenga bila mume wake kujua.

Nyumba ilipoisha mwanamke akamshawishi mumewe wahame kwenye nyumba ya awali waliyokua wanaishi wahamie kwenye nyumba ya mke, wakati huo mume hajui kwamba nyumba ni ya mke.

Mume akaridhia, mwanamke akamtafuta 'mwenye nyumba' wa magumashi kwenye nyumba yake. Mume wake akaongea na huyo mwenye nyumba wa magumashi kuhusu kodi wakakubaliana, mume na mke wakahamia na mume akaanza kulipa kodi kwa mwenye nyumba wa magumashi bila mume wake kujua kwamba anamlipa kodi mke wake!!!

Kilichoendelea baada ya mwanaume kugundua sitakiongelea hapa.

Ninyi wanawake muwe na huruma jamani...
 
Binadamu wote ni hatari....hamna cha wanaume wala wanawake!!!!
 
*****, gunia mbili za mkaa standby mapema.
 
Duu inashagaza, kweli akili mkichwa, unalipa kwa mama mwenye nyumba
 
we unashangaa hiyo? mtu unanunua gari milioni hamsini unamkabidhi mwanamke anadrive anakutana na mwanamme mwingine petrol station anamnunulia mafuta ya elfu kumi tu na anaenda kumgonga tena wanagongwa vibaya sana halafu bado unawashangaa wanawake?
 
mbaya zaidi inawezekana mke alimpiga cha juu mume ad akapata pesa ya kujenga.
 
Nimeisikia hii mahali nikaona sio vibaya nikawamegea siri wanaume wenzangu hasa ambao mko/mnaishi kwenye ndoa halisi au ambao mnaishi kwenye misingi ya dhana ya ndoa kwa maana ya 'presumption of marriage' (wale wanasheria mtakua mnanielewa).

Kuna jamaa alikua kwenye ndoa kumbe mke wake akawa anajenga nyumba kisirisiri; yaani alinunua kiwanja kwa siri na kuanza kujenga bila mume wake kujua.

Nyumba ilipoisha mwanamke akamshawishi mumewe wahame kwenye nyumba ya awali waliyokua wanaishi wahamie kwenye nyumba ya mke, wakati huo mume hajui kwamba nyumba ni ya mke.

Mume akaridhia, mwanamke akamtafuta 'mwenye nyumba' wa magumashi kwenye nyumba yake. Mume wake akaongea na huyo mwenye nyumba wa magumashi kuhusu kodi wakakubaliana, mume na mke wakahamia na mume akaanza kulipa kodi kwa mwenye nyumba wa magumashi bila mume wake kujua kwamba anamlipa kodi mke wake!!!

Kilichoendelea baada ya mwanaume kugundua sitakiongelea hapa.

Ninyi wanawake muwe na huruma jamani...
Hayo yanafanywa na wanawake wa mikoa mingine uko siyo uku kwetu Mara
Ndo maana kipigo kwa mwanamke ni kama chai ya asubuh na yeye asipopigwa atatafuta sababu tu ili apigwe
 
Mkuu unahisi huyo mwanamke atakuwa kabila gani hahaha
 
Back
Top Bottom