Wanawake ni viumbe hatari sana hapa Duniani!

Wanawake ni viumbe hatari sana hapa Duniani!

Nimeisikia hii mahali nikaona sio vibaya nikawamegea siri wanaume wenzangu hasa ambao mko/mnaishi kwenye ndoa halisi au ambao mnaishi kwenye misingi ya dhana ya ndoa kwa maana ya 'presumption of marriage' (wale wanasheria mtakua mnanielewa).

Kuna jamaa alikua kwenye ndoa kumbe mke wake akawa anajenga nyumba kisirisiri; yaani alinunua kiwanja kwa siri na kuanza kujenga bila mume wake kujua.

Nyumba ilipoisha mwanamke akamshawishi mumewe wahame kwenye nyumba ya awali waliyokua wanaishi wahamie kwenye nyumba ya mke, wakati huo mume hajui kwamba nyumba ni ya mke.

Mume akaridhia, mwanamke akamtafuta 'mwenye nyumba' wa magumashi kwenye nyumba yake. Mume wake akaongea na huyo mwenye nyumba wa magumashi kuhusu kodi wakakubaliana, mume na mke wakahamia na mume akaanza kulipa kodi kwa mwenye nyumba wa magumashi bila mume wake kujua kwamba anamlipa kodi mke wake!!!

Kilichoendelea baada ya mwanaume kugundua sitakiongelea hapa.

Ninyi wanawake muwe na huruma jamani...
Yaani huyo kama ndiyo angekuwa mama yangu ningekuwa namuita Professor Mama .Akili kubwa hataki wanawe wafedheheke.Were uko bize unakula bata.
 
we unashangaa hiyo? mtu unanunua gari milioni hamsini unamkabidhi mwanamke anadrive anakutana na mwanamme mwingine petrol station anamnunulia mafuta ya elfu kumi tu na anaenda kumgonga tena wanagongwa vibaya sana halafu bado unawashangaa wanawake?
nouma sana mkuu
 
i have friends like 5 who have declared such incidence, lengo lao kubwa ilikuwa kuwafanya waume na familia zao wasiendelee kukaa katika nyumba za kupanga, wawe na kwaooo...HOME IS BEST .......

Walifanya ivo kwa sababu waume zao walikuwa wakiwagegeda vizuri na walikuwa wakiwapa PESAaaa
 
...mwanamke alikuwa sahihi-sijaona tatizo hapo
Mimi nimeichukulia positive sana hiyo issue. Huyo mwanamke ni mwenye akili sana na amefanya kitu sahihi. Pengine hiyo kodi anayomtoza mume wake anaiweka ili aje afanye kitu kingine cha maendeleo na baadae atakuja kumshirikisha na mwenzie maana yawezekana angemshirikisha tokea mwanzo hata kujenga wasinge/asingejenga

Kama angekua na nia mbaya wala asingethubutu kumwambia mume wake wahamie kwenye hiyo nyumba , angeweza kua anachukua kodi kimyakimya kutoka kwa wapangaji wengine na mwanaume asijue

Hawa wenzetu wakiamua wanaweza
 
Aisee, na wewe una akili sana.
 
Ila tunawalaumu sana wanawake sometimes sisi wenyewe tunazingua kishenzi yaani,kesi kama hii imemkuta jamaa yangu yeye ana kazi nzuri tu ila sasa hela yake yeye ni kuhonga mademu na kuelewa,wana watoto watatu wamepanga nyumba tangu hawana mtoto,demu anakuja kuomba ushauri kwangu kwamba anamshawishi jamaa wajenge,jamaa anakubali lakini hela ikishapatikana tu hadi anaamia kwa michepuko,anamnyanyasa sana yule mwanamke baadae akawa sugu kajiingiza kwenye sijui vicoba,mikopo na ujasiriamali wa hapa na pale kajenga nyumba mbili wadogo zake ndo wanasimamia ujenzi jamaa hata habari hana
Muda mwingine sisi ndo chanzo,tunawanyanyasa sana hawa wake zetu
 
Back
Top Bottom