Wanawake ni miyeyusho sana

Wanawake ni miyeyusho sana

vanus

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2017
Posts
1,169
Reaction score
2,991
Mabaharia kwemaa?

Eeh bana kuna ngarangara moja nilkuwa naipenda kinyama afu nilkuwa nina machale si mchezo, siku moja nimetoka dom manzi akanicheki kuniuliza niko wapi, nikamchana niko somewhere nakula vyombo na wana, akaniambia yeye anaenda kwenye harusi nikaona fresh nikazima data.

Bana bana pombe ikakolea kichwani, nikahisi kuna kitu hakipo sawa, nikaanza kumpigia manzi nijue kama ashatoka kwenye harusi ili nishuke kwake nikamwage wazungu, demu akawa hapokei simu zangu kabisa, nikachukua usafiri mpaka kwake mishale ya saa 11 asubuhi nipo maeneo ya getini kwake, ghafla nikahisi kuna gari inakuja nikajibana sehemu,

Huwezi amini wakuu nikamuona hii takataka inashuka kwenye gari na msela flani hivi, niliumia sana moyoni nikawa natetemeka, naona kama picha la kihindi hivi, kumbe nilipojificha kulikuwa na siafu wakaanza kupanda mwilini polepole wala sikuhisi chochote,

Wakafungua geti wakaingia ndani, mm nikazunguka nyuma ya nyumba nione kitu gani kinaendelea, wakawa wanazozana tu sijui ndo mshikaji hakufika dau au vp! Uvumilivu ukanishinda nikarudi ndani, walivo mafala waliacha mlango wazi, nikaingia ndani nawakuta sitting room jamaa akaishiwa nguvu demu ndo kabaki amepigwa butwaa.

Sasa ile katika kutaka kuanza kuleta noma nikahisi kama natembelewa na vitu mwilini, siafu wakaanza kuning'ata bana, asee nilikosa pozi nifanyaje sasa nipambane na hawa wanaharamu au nipambane na siafu mwilini, ikabidi nikaze tu nianze kumchimba beat yule msela huku naporomosha matusi na vitisho vingi, huku siafu wanachachamaa si mchezo jamaa akapata mwanya akakimbia njee nikaona sio kesi leo bahati yake.

Nikabaki na hii mbuzi pale sebuleni, nikamwambia “ww mjinga leo nadondosha hayo meno yote ngoja niingie chumbani kumbe nilienda kuvua nguo chapu nakutoa wale siafu.

Baada ya kutoa siafu na ile pombe kichwani ikabidi nijiegeshe kitandani, nikapitiwa na usingizi, asubuhi hang-over kichwani nikamuangalia mama kwa jicho kavu ila hasira ishapungua ikabidi, nipige tako nyingi sana za hasira, nikaambiwa ahsante baba.
 
Ujinga tu. Mtu hujamuoa. Siyo mchumba wako. Unadandia tu mbususu yake. Unamkuta mdandiaji mwenzio eti mishupa ya shingo inakukakamaa unataka upigane. For what? Si na yeye anadandia tu mbususu kama wewe? Wengine mpaka mnaishia kuuliwa...ujinga tu...
 
Mabaharia kwemaa?

Eeh bana kuna ngarangara moja nilkuwa naipenda kinyama afu nilkuwa nina machale si mchezo, siku moja nimetoka dom manzi akanicheki kuniuliza niko wapi, nikamchana niko somewhere nakula vyombo na wana, akaniambia yeye anaenda kwenye harusi nikaona fresh nikazima data.

Bana bana pombe ikakolea kichwani, nikahisi kuna kitu hakipo sawa, nikaanza kumpigia manzi nijue kama ashatoka kwenye harusi ili nishuke kwake nikamwage wazungu, demu akawa hapokei simu zangu kabisa, nikachukua usafiri mpaka kwake mishale ya saa 11 asubuhi nipo maeneo ya getini kwake, ghafla nikahisi kuna gari inakuja nikajibana sehemu,

Huwezi amini wakuu nikamuona hii takataka inashuka kwenye gari na msela flani hivi, niliumia sana moyoni nikawa natetemeka, naona kama picha la kihindi hivi, kumbe nilipojificha kulikuwa na siafu wakaanza kupanda mwilini polepole wala sikuhisi chochote,

Wakafungua geti wakaingia ndani, mm nikazunguka nyuma ya nyumba nione kitu gani kinaendelea, wakawa wanazozana tu sijui ndo mshikaji hakufika dau au vp! Uvumilivu ukanishinda nikarudi ndani, walivo mafala waliacha mlango wazi, nikaingia ndani nawakuta sitting room jamaa akaishiwa nguvu demu ndo kabaki amepigwa butwaa.

Sasa ile katika kutaka kuanza kuleta noma nikahisi kama natembelewa na vitu mwilini, siafu wakaanza kuning'ata bana, asee nilikosa pozi nifanyaje sasa nipambane na hawa wanaharamu au nipambane na siafu mwilini, ikabidi nikaze tu nianze kumchimba beat yule msela huku naporomosha matusi na vitisho vingi, huku siafu wanachachamaa si mchezo jamaa akapata mwanya akakimbia njee nikaona sio kesi leo bahati yake.

Nikabaki na hii mbuzi pale sebuleni, nikamwambia “ww mjinga leo nadondosha hayo meno yote ngoja niingie chumbani kumbe nilienda kuvua nguo chapu nakutoa wale siafu”
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ujinga tu. Mtu hujamuoa. Siyo mchumba wako. Unadandia tu mbususu yake. Unamkuta mdandiaji mwenzio eti mishupa ya shingo inakukakamaa unataka upigane. For what? Si na yeye anadandia tu mbususu kama wewe? Wengine mpaka mnaishia kuuliwa...ujinga tu...
Hatari sana😁😁
 
Ww ni wale wale wa telegram, mwanaume kamili lazima utawale eneo lako la mzingo, kama una uza nicheki pm you seems so cheap!
 
Kwani mki HIT and RUN mtapungukiwa nini?
Nani alikwambia unapenda, WOMEN are HUNGRY for MONEY and MEN are HUNGRY for PUSSY ...

Just HIT and GO...!!!

#YNWA
Hii inakujaga baadae mzee baada ya kupata shahada ya matukio, unahamia phase ya pili ushakuwa legend, ndo unaanza sasa kuchakata mbususuu huku uki-hit and run
 
Ukimaliza kutoa siafu uje umalizie stori
Hakuna cha ziada, nilivotoa siafu ikabidi nilale zangu tuu asubuhi nikaamka na hang-over nikamalizia hasira kwa kupiga tako za hasira
 
Miyeyusho kweli ukiona demu ameanza ghafla kukuuliza hilo swali mara kwa mara jua yuko on mission ya kukitembeza kpochi unyoya chake so always anataka kujua ulipo ili anapoenda kukutana na hawara wake huyo msije mkakutana nae red handed by any means.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom