Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,397
- 69,149
Braza ulifanya makosa makubwa Sana ambayo hapa wahuni wengi hawatakuambiaHabari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).
Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Pole sana ,mwanamke hata Tsh 100 ni kubwa sana kwake.Habari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).
Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Maneno anayoyatoa ndio yana niacha hoi nasema elfu mbili hii au kuna menginePole sana ,mwanamke hata Tsh 100 ni kubwa sana kwake.
Naelewa ni makosa ila tafsiri yake haendani na uzito wa pesa ,ila reaction yake ndio nimeshangaza aisee as if nimechukua kwa mtu baki wakati mimi na yeye ni mwili mmojaBraza ulifanya makosa makubwa Sana ambayo hapa wahuni wengi hawatakuambia
1. Kwanza kwa nini uchukue bila kuomba au kutoa taaaarifa? Ulijua alipanga kutumia vipi? Kama akijipa sabuni au chumvi ili akalipe huoni umemtia hasara?
2. Wewe Mwenyewe Umerudi usiku huna hata Mia, lakini kwa ubinafsi wako ukaoni uchukue 2k kwenye Mjomba ili unywe maji baridi na energy huku unaburudika na soka. Huo ni ubinafsi kujijali.
3. Umerudi uko kappa mfukoni ,mwenzako kaweka akina ya Dagaa siku inayofuata ili watoto wake hapo ugali huoni umefanya kosa kubwa?
Yote kwa Yote ungemuomba asingekunyima pamoja na kuwa mnaukata wa fedha kwa sasa
Kaka kama hujaoa kaka tafakari mara mbili ,nasema ukweli ,kwenye uchumba ni malaika hata wanaweza kukaa miaka miaka mitano kimya sasa weka ndani ndio utajua ndoa ni ndoano,wanje ni nje na wandani ni ndaniJinsi mnavyopandisha nyuzi humu kuhusu ubaya wa ndoa, nauliza hawa wanawake wa aina hii ninyi mnawaokota wapi.
Mwili mmoja huu utajiomba mwenyewe sasa
Anajidhalilisha yeye nahuyo mkewe angekaa kimya tu
Yaani huyo ni mkeo?Habari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).
Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Mke changu chake ,chake chakeYaani huyo ni mkeo?
Naacha kaka ,si kuamkiwa asubuhi na maneno ya shombo unatamani kurusha hata kofiAcha wizi buashee.
Kwenye maisha yangu adui UMASKINI NI LAANA NA UMASKINI NI WAKUOGOPWAKaka hii ukweli sipingi hata kidogo ,elfu mbili mpk majirani wanataka wajue aisee
Umaskini ni adui wa maisha ila nature lazima ichukue nafasi yake kumbukaKwenye maisha yangu adui UMASKINI NI LAANA NA UMASKINI NI WAKUOGOPWA
Mwenyezi Mungu atusimamie sanaaa
Kaka ukiwa kibent wa mwanamke yeyote anakulia timing tu ,ukiingia kwenye mfumo utaelewaPesa ya hawa jamaa Iko attached na roho zao, Yani hata sumuni haidondoki Kwa mwanaume otherwise Kwa kiben 10 chake ova.