World product
Senior Member
- Jun 4, 2024
- 105
- 264
Kaka hii ukweli sipingi hata kidogo ,elfu mbili mpk majirani wanataka wajue aiseeNo wahala 😅😅😅
Pesa yake ni yake yako ni ya wote
Nimepekua mkuu ila najua pesa zangu mwenyewe ila kwakua imefika kwake imekuwa yake kabisa ,,,maneno yake aisee nataka dunia ipasuke ila wanawake na pesaKwa hiyo mkuu Huwa unapekua pekua mkoba wa mke?
Unadhani nimuamshe anipe pesa ninayompa mwenyewe anakubali?Hapo issue sio thamani ya hiyo buku mbili bali ni kwa wewe kupekua mkoba wake bila idhini yake.
Kaka kama unamke utaelewa nini naongeaChai
Asante kaka,hivi viumbe achana navyo na pesaPole kaka.
View attachment 3627441
Asante kakaPole kaka.
View attachment 3627441
Hawa watu sio poa.Asante kaka,hivi viumbe achana navyo na pesa
Hii kurudishwa ni muhimu maana maneno yake ungekuwa hata wewe ungerudishaRudisha hela zq watu acha janja janja
Jitahidi um-control mkeo.Habari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).
Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Mood alioamka nayo ,naona akili na wanamke ya chako chetu ,changu changu ipo activeSi ungeomba kuliko kudokoa