wanawake ni kama pesa..

cjui zinawatoshaga ngapi coz mie mambo ya credo najihudumia mwenyewe kutokana na mawasiliano yangu yalivyo, sasa hiyo buku kwa kweli mhh, haya ndio mnawa2mia hiyo buku then mnalalama kwamba mna2ma lakini hawawacal, sasa utamcal vipi m2 na credo ya buku na c ajabu yeye alivyokuomba ana mawacliano yake ya muhimu na wa2 wengine...ahh

Wale wa uswahili hata credo ya 500 ukimrushia rushia mara kadhaa wanamegeka unakuja kwa bwashee anapiga kiepe jike na Njiwa then pilipili kwa wiiiiiingi na kachumbali kisha akatelemshia na Banta dah cost haizidi 5000/= mwanamke hapo atazidisha pendo mara dufu kwa hiyo nyumba ndogo. Haya mambo nayashuhudia sana kwenye sehemu nako patia Ndovu
 
kama mr/mchumba ananihudumia nitakavyo kwanini nishawishike na wewe muharibifu? mana huna lingine zaidi ya kuniharibia, na najiulizaga jamani hao wanawake wenu mnawapatiaga wapi jamani? mbona wapo kama hawajitambui kabisa.

Hilo ndo swali la hii topic jamaa kauliza!! kwa nn mnatupenda pindi tunapokua tumeoa?
 
Wale wa uswahili hata credo ya 500 ukimrushia rushia mara kadhaa wanamegeka unakuja kwa bwashee anapiga kiepe jike na Njiwa then pilipili kwa wiiiiiingi na kachumbali kisha akatelemshia na Banta dah cost haizidi 5000/= mwanamke hapo atazidisha pendo mara dufu kwa hiyo nyumba ndogo. Haya mambo nayashuhudia sana kwenye sehemu nako patia Ndovu

mhhh, kazi ipo.
 
kama mr/mchumba ananihudumia nitakavyo kwanini nishawishike na wewe muharibifu? mana huna lingine zaidi ya kuniharibia, na najiulizaga jamani hao wanawake wenu mnawapatiaga wapi jamani? mbona wapo kama hawajitambui kabisa.

Kuna huduma zaidi ya huduma. Mechi za mchangani zina raha zake. Unapata experience unahamishia home, ndoa inapata uimara zaidi. Vululu vululu!
 
cjui zinawatoshaga ngapi coz mie mambo ya credo najihudumia mwenyewe kutokana na mawasiliano yangu yalivyo, sasa hiyo buku kwa kweli mhh, haya ndio mnawa2mia hiyo buku then mnalalama kwamba mna2ma lakini hawawacal, sasa utamcal vipi m2 na credo ya buku na c ajabu yeye alivyokuomba ana mawacliano yake ya muhimu na wa2 wengine...ahh
sasa hao watu si wamtumie, au wamcall??
Women bana!!!!!.
 
ZD si waharibifu!!! ndo zao wanataka kutafuniwa wameze tu sasa imekula kwenu

ZD, lilyflower FL Pretty mwendo wetu ule ule....lets do our bit!!

Mwendo gani? Wa kuzengea wanaume waliooa? agggrrrrrr!
 
Kuna huduma zaidi ya huduma. Mechi za mchangani zina raha zake. Unapata experience unahamishia home, ndoa inapata uimara zaidi. Vululu vululu!

eeh kumbe ndio sababu hiyo? mbona mie ma expeience na share nae na cyapati huko mnakokusemea?....experience ni utundu wako tu katika hiyo game bana hakuna lingine.
 
Huko tunakosemea wewe unapata kero? Basi acha kwenda! Hahaha! LOL! Kuna raha ya kubadilisha ladha bana. We mbona kila siku huli ugali? Mi ndio maana siku mojamoja naipiga chini serengeti nafakamia valuu au ndovu. Lengo ni kubadilisha ladha!
 
sasa hao watu si wamtumie, au wamcall??
Women bana!!!!!.

kama nina mama kjjn na nahitaji kuongea nae je? halafu hawa wanawake wakuomba vitu kama credoo nao khaa, natamani niwape semina wawe wanawabomu viwanja na magari...
 
Hahaha! Umesahau na Banta baridi moja! Hahaha! Gharama ndogo, huduma kubwa.

Hahahaha jana ulipo ondoka kuna Babu alisogeza katoto kadogo ni kama mjukuu wake hahahaha kanaletewa Ndovu babu pale alikuwa anakwepa gharama alafu anapewa huduma kubwa.
 
'

gumu kwangu, mr akilewa nitamuhoji!...lol

Hahahah! LOL! Usiniambie muzee yako akilewa anapoteza netiweki! Wenzio tukiutundika mtungi kichwa kinachaji. Tunapiga kinanda na kulonga ki-blurei kama tumezaliwa London. Yani ni Full Memory!
 
Hahahaha jana ulipo ondoka kuna Babu alisogeza katoto kadogo ni kama mjukuu wake hahahaha kanaletewa Ndovu babu pale alikuwa anakwepa gharama alafu anapewa huduma kubwa.

Hahaha! Ungenipigia nirudi. Sinema kama zile huwa sipendi kuzikosa. Bht alisepa kimtindo. LOL! Mpwa mwoga sana! Vipi tukutuku liliondoka bilabila ukaamua ulipizie kwa daladala? Hahaha! Mpwa bana!
 
Tunayaona haya ni kweli na yanatokea mke wa mtu analewa kwa credo ya 500 na viepe.

halafu nyie wenyewe ndio mnawazoesha haya mambo, nakumbuka nikimuita bfrnd alikuwa ananihoji kwanini cmwambii anitumie credo, mie nikawa namshangaa tu mana kwangu mie hiyo ni sehemu ya kujihudumia, bac akawa anani2mia tu kajiamulia, mkiwa mna tongoza c mna2mia kila njia muonekane mnajali kumbe ndio wengine wanakufanyia kuwa ni wajibu wako.
 
eeh kumbe ndio sababu hiyo? mbona mie ma expeience na share nae na cyapati huko mnakokusemea?....experience ni utundu wako tu katika hiyo game bana hakuna lingine.
Ivi unategemea Mdada aseme ukweli wa hii kitu? kila mtu ukimuuliza atajibu kama wewe!! hiii ni siri moyoni bana!!
 
mie na wewe hapa nitasema ukweli wangu tu mana cna sababu ya kudanganya kivuli changu K.....
 
Back
Top Bottom