Wanawake ni hatari sana

Bora akigonga ataanguka na kuchubuka tu, mwache asikilizie utamu wa joto la wanawake ajisahau ajilengeshe kwenye lingao la Land cruiser mkonga kama nitamuachia huyo...
 
Kinachotokea hapo wala si wanawake kuwa na joto kali kuzidi wewe, ila ni mwili wako tu unakuwa wa baridi sana kutokana na kupigwa na upepo mkali.

Ndiyo maana inashauriwa waendesha boda boda wote kama wewe wavae nguo nzito au weka kizuizi kizito sehemu ya kifua kulinda temperature ya mapafu isishuke chini.
 
Binadamu wote duniani joto la mwili ni constant (Homeothermic) bila kujali kama anaishi kwenye frigid au torrid zones, ungesema ulibeba ndege - mfano: Kuku, Bata nk hapo ningekuelewa kwani joto la mwili la viumbe hao ni nyuzi 42 C.
 
Duh kweli hii ni jf...never get bored....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…