Wanawake ni hatari sana

Wanawake ni hatari sana

Muwazi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
355
Reaction score
81
Wanawake ni hatari sana maana wana joto kali sana kuliko wanaume kiasi kwamba hata kama mvua imenyesha ni rahisi sana mwanamke kumuondolea mwanaume joto wakilala pamoja kwa kukumbatiana hata kama hawafanyi tendo. Mwanamke hata kama umembeba kwenye pikipiki akiwa amekaa kiume yaani joto lake utalisikia tu. Mimi nimewahi kubeba wanawake mbalimbali wadogo kwa wakubwa ni joto mtindo mmoja. Nimekuja kushangaa leo nilipombeba mwanamke mzee akiwa amekaa kiume kuona ana joto kali sana nikaamini kuwa mbele ya joto hamna cha mzee kwa upande wa mwanamke. Sijui hili naliona mimi mwenyewe ama na wenzangu mnaliona hili? Naomba mawazo yenu tafadhali.
 
bado sijakuelewa mtoa uzii unataka ushauri/unataka maoni/unataka maswali/unafanya utafiti/

mawazo ya nini unataka wakati umeshaprove.
 
Joto la wanaume likoje? Kama jibu ni hujawahi kukumbatia dume lenzako huwezi kusema wanawake wana joto kali. Hii ni thread kudhihirisha unawaza mambo mengine ukiwa unabeba watoto mpaka wazee kwenye piki piki. 36-37 Celsius ni kila binadamu, si wanawake tu. Angalie usigonge watu unawaza jotooo
 
Yani nna kiu, koo limekauka, hela sina.... natamani castle lite ya baridiiii
mwenye buku ten naomba anikopeshe!!!

Kwa nini ipate shida mtt wa kike?
Salio lako jipya ni Tsh.100,000. Umepokea Tsh 100,000 kutoka kwa Kichoi
 
Umeweza vipi kujua wanawake wana joto sana kushinda wanaume??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Joto la kawaida la binadamu ni 36[SUP]0[/SUP]c

Back
Top Bottom