Vitu vya msingi nimeshavifanya, nina nyumba, Nina gari,nimeoa, Nina watoto, nimewekeza, nafanya kazi, watoto wanasoma
Ni kwanini nisifanye starehe na mke wangu?
Kazini boss kazingua , nahamishia mawazo kwa mke wangu, namuwaza jinsi jioni ntakavyo mgegeda ili mastress yatoke.
Unataka nimuwaze boss?