WANAWAKE NDIO MMEFIKIA HUMU?

WANAWAKE NDIO MMEFIKIA HUMU?

Vito Corleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,417
Reaction score
5,276
Nimeitoa BBC

Jacob Wekesa, anayejiita nabii, amejikuta katika hali isiyofaa baada ya kukaa kwa muda wa wiki moja kwenye nyumba ya mmoja wa wafuasi wake.
Mfuasi wa shirika la Legion of Mary, anayedai kuwa na uwezo wa kutambua matatizo ya afya ya uzazi ya wanawake kwa macho yake ya kiroho, sasa anakabiliwa na mashtaka ya makosa ya kingono katika mahakama ya Nakuru, gazeti la Daily Nation limesema.
Ingawa amekanusha mashtaka ya kuwabaka mabinti wawili wa mwenyeji wake, mahakama imempata na hatia.
Mwanaume huyo anapigania kujiokoa kutokana na kifungo cha muda mrefu iwapo mahakama itashawishiwa na kesi ya upande wa mashtaka.
Masaibu yake yanasemekana kuanza siku ya mwaka mpya alipozuru nyumbani kwa mmoja wa wafuasi wake Bi Sarah Atieno katika kaunti ndogo ya Njoro kusali.
Mwanamke huyo, aliyeishi na binti zake wawili watu wazima, alimkaribisha na akakubali kumkaribisha kwa muda. Ilikuwa wakati wa kukaa kwake katika nyumba hiyo ambapo mzee huyo wa miaka 66 alidaiwa kutenda makosa ya kingono dhidi ya wanawake hao wawili mnamo Januari 5, 2023.
Daily Nationa inasema kulingana na karatasi ya mashtaka, Bw Wekesa alidaiwa kufanya mapenzi kimakusudi na wanawake hao wawili kinyume na mapenzi yao katika uwanja wa Golf Estate huko Njoro, shtaka alilokanusha.
Mmoja wa wahanga hao akitoa ushahidi wake mbele ya mahakama hiyo alisema mtu huyo aliyeletwa nyumbani na mama yake mzazi alidai kuwa ni nabii wa kanisa la Legion of Mary ambaye ni kipofu.

Ninachoskia Hawa manabii wengi wa uongo skuizi wanakula kilaini sana kondoo hasa wake za watu,Ninachojiuliza ni kweli Jamaa aliwabaka kina dada hao wawili (3some)tena kiwanja Cha golf fresh kabisa,kumbuka nabii ni 66 year old.

Kifupi nabii alizagamua totozi Ila alisahau kutoa Hela.
 
Wanawake na hawa manabii sijui nani kawaroga. Yani wanachukua maisha wanamkabidhi mchungaji.
Kuna kabinti nakapenda shida ni kalokole ndio maana kila nikiwaza kukaoa naghairi maana mchungaji atakuwa na say kuliko mume. Bora nikamuoe ustadhat wangu
 
Back
Top Bottom